cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 325
- 1,130
Inawezekana huko kwenu na wewe zilikuwa pigo zako!,Waambie sio poa kabisa.Aisee,nipo nyumba ya kupanga nimeweka dressing table Ina kioo,mda wakifika tu kunitembelea lazima wazame chumbani niwepo nisiwepo,nisipokuepo means wanaombaga funguo lakini wakitoka nikija najua tu chumbani Kuna mtu aliingia ,nikasema isiwe kesi niweke kioo full barazani hapa nilipoweka kochi na tv lakini bado lazima waende chumbani ni wadogo zangu wa damu mama mmoja baba mmoja,wa kiume
Utani mwingine,anawapaje mzigo wadogo zake,?!!!!Haina shida
Cha msingi usiwape mzigo
Sheria ndio si unapanda na kulipa nauli!Nyumba ya kupanga haina sheria! Jenga yako kwanza ndo tukupe ushauri wa kudumu.
Unataka sheria kwenye daladala ndugu
Sebureni hakutoshii mpk wakujee chumban kwakoo jmn dadaa mzuri mzurii..tu wa sebureni
Wengine tumezoea kutoingia vyumba vya wengine kabisa!Nadhani issue ni mazoea Kuna familia wamezoea kuingia room ya huyu hivyo Ila kwa mipaka.... Kikubwa isipitilize hasa chumba Chako na we ni mdada
Hawakawii kukasirika wataanza kuninanga mi katili siwajali ,na wanaweza stop kabisa kuja ni wakubwa Wana miaka ishirini na Tano kwenda juuJambo dogo kama hili nalo huwezi kulitatua? Kama ni wadogo zako unashindwaje kuwaamru waache hiyo tabia?
Mbona baba analala na mtoto wakeUtani mwingine,anawapaje mzigo wadogo zake,?!!!!
Nina nyumba yangu sitakaa Sana hapa naona hasara fulani ivi....Weka mlango...jitolee tu maana unayeishi ni wewe