Sikwepeshi
Senior Member
- Jan 26, 2012
- 162
- 18
- Thread starter
-
- #21
Hawezi kuahirisha ndoa? Maana nafikiri ni lazima amwarifu mke wake mtarajiwa kuhusu mtoto wake kabla ya ndoa kufanyika, ili mke ajue kwa kweli anayeolewa naye ni mtu wa aina gani. Akae naye akamwambia kwa utulivu na utaratibu mke asishtushwe mno. I guess naye angetaka kujua mapema yawezekanavyo kama mke angekuwa na mtoto nje, basi amtendee kama vile naye angetaka kutendewa...
Kutoka na mwenendo wake, yaonekana mke anajua tayari anyway, labda anataka rafiki yako amwambie yeye mwenyewe ili kujua kiasi gani anaweza kumwamini.
kuwa muwazi,mweleze ukweli kuwa una mtoto,ila nakupa tahadhari ,wengi ya wanaume wanaozaisha watoto wa watu na kutowaoa halafu baadae ukapata mwanamke mwingine ukaoa,mwisho wa siku unaweza kujutia uamuzi wako-by that time inakuwa too late!mifano ninayo tena mifano halisi!
subiri ajifungue ndio umwambie. japo ulifanya vibaya kutomwambia mapema.
subiri ajifungue ndio umwambie. japo ulifanya vibaya kutomwambia mapema.
Mimi unanikasirisha unapoamua kutudanganya hata sisi, mfano mimi ni mshikaji wako nashangaa kwanini ufanganye wakati najua hii issue na ni yako mwenyewe, unaonyesha ni jinsi gani hujiamini.nimetake his position ili kutochanganya kiswahili