Nifanyeje niache ARV?

kisebengo nilishaambiwa kuna mdada alikuwa anatumia arv na baada ya muda cd4 zake zikafika 800 continuous for six month akashauriwa kuacha dawa. je kuna ukweli hapomaana nasikia bado anamonitor cd4 lakini amestabilizi. wataalam watujuze
Wakati mwingne wanachaguliwa baadh ya wagonjwa wanahusishwa kwny research mbalimbali.. Hvyo huenda na huyo unayemzungumzia yupo kwny research either kwa kujijua au kutokujua lkn ukweli uhalisia ni kwamba wakishaanza dawa huwa ni non stop hata kama cd4 zitapanda mpka 1000+ na viral load ishuke lower to almost zero
 
Nahc umejibu kitaalamu km sio kitaaluma,Ushauri wako uwe kam reference kwake
 
Jaribu kubadilisha hospitali. Mpeleke kwingine akapime upate uhakika.
 
Nawashukuru kwa mawazo yenu!
Ninyi wote mlionipa ushauri nadhani hamjaisoma ile thread ya Kaveli "v.v.u na upimaji wake" controversy iliyopo mle ni kuhusu matibabu ya modern medicine ambayo siyaafiki kwa asilimia 100. Imeonekana kuwa H.I.V AIDS is hoax, nami kwa akili yangu ninasapoti kuwa Ukimwi wa VVU ni tatizo la kutengeneza. Sasa wote mnaonishauri kasomeni vizuri ile thread then mje na ushauri sahihi sio nirudi tena clinic, najua kule hawawezi kunielewa kwa vyovyote.
Habari ya kupima tena VVU sioni tija kwa hata vipimo vyenyewe bado vina utata.
 


Huyu mtu amepimwa akakutwa na HIV, hawawezi kumpa dawa mpaka CD4 zake ziwe chini au tayari ana magonjwa nyemelezi ambayo kinga haiwezi kupambana nayo. Sijakuelewa kwanini husema hana HIV, mke wake kutokuwa na HIV ni jambo lingeni, yawezekana ni mmojawapo wa wale ambao hawapokei HIV.
Suala la muhimu huyo mtu anywe dawa kwa wakati, hasipitishe weka alam kama ni saa 4 iwe saa nne no Zaidi isiwe hata na dk 2-5, unaposhindwa kumeza dawa kwa wakati wadudu ujijenga na kujiweka sawa na hawawezi kushindwa kujiongeza kwa sababu ya dawa umezavyo. Kitu kingine kula vizuri, matunda mboga, maziwa yai, iwe part ya mlo kila siku. utapata afya na kurudia afya yako.
Jambo la muhimu atulie hasije akapata maambukizi mengine wakashindwa kumpatia dawa inayofanana na virus vyake. HIV zipo aina tofauti na zinajitengeneza aina kila kukicha utajidanganya unasambaza kumbe wajiua
 
''Kitu kingine kula vizuri, matunda mboga, maziwa yai, iwe part ya mlo kila siku. utapata afya na kurudia afya yako.''

Labda hapo nitakuelewa kidogo, je umeisoma thread niliyoisema hapo juu?
 
Ndugu tafuta uzi WA deception usome vizuri kuanzia page ya 1 mpaka ya mwisho. Usiwe mvivu kusoma. Nahis kuna mawasiliano yake kuna watu wali mp utachukua huko. Hakuna Ushauri wowote utakao pewa Hospital tofauti zaidi ya kukusisitiza Aendelee kutumia ARV. Tambuwa kuwa kitakacho muua siyo HIV Yale madhara yatokanayo na ARV. Tafuta vitu vitakavyo weza kuongeza kinga ya mwili Matatizo ya ngozi yataanza kuondoka yenyewe, hakuna kuogopa Ndugu maana wewe ndo mwenye elimu. Ni vizuri kutafuta uzi na mwenyewe asome kujilidhisha, matumaini yanaanzia Kwa mgonjwa mwenyewe.
 
Vipimo vinaonyesha ni HIV+ wewe unahisi hana ngoma how comes?
Nilitaka kuhoji hili.
Na akifuata ushauri wa humu badala ya wa daktari watampoteza ndugu yao kama wale waliositisha kunywa ARV's baada ya kunywa kikombe cha babu loliondo.
 
Baada ya ushauri wa wrote nenda Hosp update ushauri zaidi
 
Mkuu pole sana kwa hayo yaliyo mkuta kaka nione mimi nipate kumuachisha hiyo sumu ya dawa za ARV anazo tumia nita mtibia kw amuda wa miezi 8 n atapona na kurudi hali yake kama ya zamani na hiyo HIV+ itamuondokea kabisa. Ukihitaji matibabu toka kwangu Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 


Ni uzi upi mkuu, kama ni ule wa kaveli vvu na upimaji wake nimesoma wote
 
Ni uzi upi mkuu, kama ni ule wa kaveli vvu na upimaji wake nimesoma wote
Mkuu mpatie unga wa mlonge atarudia afya yake upesi na kinga yake itakuwa juusku zote...NI PM kama huwezi kuupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…