Nifanyeje niache ARV?

Hivi, unaacha madakatari bingwa wa MAGONJWA UNAKUJA KUULIZA JF..!!?

Ebu nenda hosp. upate ushauri mzuri huku umekosea, watu wengine bana..
Hujui kua hata huku kuna madaktari bingwa ambao wanaweza kumshauri vizuri sana na akazingatia akapata nafuu
 
Pole kwa kuuguza, nipo DSM nitafute 0688462006
 
Tapeli wa kimataifa ww
 
Mpatieni Trévo, wasiliana namimi 0688462006. Imewasaidia wengi wenye changamoto kama hiyo

Sent from my C2305 using JamiiForums mobile app
 
yesu anaponya ukimwi! ukitaka kupona mwite atakuja!
 
Mkuu mpatie unga wa mlonge atarudia afya yake upesi na kinga yake itakuwa juusku zote...NI PM kama huwezi kuupata
Mkuu unga wa mlonge tetere au majani au magome?fafanua vema tuanze na ndugu zetu
 
Hapo hakuna mgonjwa wala nini ni deception na kundi lake wanatafuta vichwa vya kupigia hela mwaka mpya na mwakani. Hili ni tangazo la biashara kutafuta wagonjwa walio desparate. Huyu deception atawapata sana
 
M
Walokole wengi nao wanajidai wanatibu.. ila ni uongo mkubwa..

Ww pia wasema unatibu, ila gharama zake ni kubwaaa, nikuulize KUNA GHARAMA KUBWA KULIKO UHAI WA MTU..? usiseme uongo jamani, UKIMWI hauna dawa, full stop..!!
Mkuu Hakuna Maradhi aliyo yaumba Mungu yasiwepo na Dawa yake.Kila Maradhi hayakosi kuwa na Dawa yake mimi ninatibu Maradhi ya Ukosefu wa kinga za mwili aka Ukimwi na utapona kabisa. Amini au usiniamini kazi kwako.
 
mkuu tuambie matumizi yake na jinsi ya kuyatengeneza kwa ubora
Chuma majani ya mlonge,anika KIVULINI hadi yakauke kisha twanga kupata unga wake.

Tumia kwa kuweka ktk uji kijiko cha chai cha unga huu angalau mara2 kwa siku
 
Kaka/dada yangu mtoa mada. Kwanza pole. Hili suala ni gumu sana la HIV. Kila mtu ana ushauri wake. Ni kama vile usipokuwa na mtoto kila mtu atasema kula hivi au vile, fanya hivi au vile, mradi tu kila mtu ana ujuzi wake. Kinachonikera kwa madaktari wetu hasa wa bongo ni kukazania kitu bila kutaka kuwa flexible na kuji update na mambo mbalimbali mapya kuhusu maradhi. Akiambiwa mtu wa HIV asiache dawa darasani alikosoma basi hata gaidi amuwekee kisu shingoni yeye atasema hivyo hivyo bila kufanya vipimo wala kuchukua historia. Kwa kweli usione viongozi wetu wanakimbilia nje maana wanajua attitude ya wataalamu wa afya tunaozalisha nchini. Najua mtakuja kunikaripia ila mnabili mbadilike.

Nina jamaa yangu alianza ARVs zikamdhuru akaacha na hajafa mpaka leo. Hayo madawa ni makali, tena ukaongezewe na ya TB wakati TB yenyewe huna eti kisa ni kinga, jamani tuwe na huruma. Hayo madawa huharibu figo na ini, hata mfiche hili ni kweli, ongezea hapo na lishe duni basi ndio kila siku tunazika.

Njoo inbox nikupe maelekezo uende wapi kupata a balanced opinion. Pole sana kwako na kwa kaka yako.
 
M

Mkuu Hakuna Maradhi aliyo yaumba Mungu yasiwepo na Dawa yake.Kila Maradhi hayakosi kuwa na Dawa yake mimi ninatibu Maradhi ya Ukosefu wa kinga za mwili aka Ukimwi na utapona kabisa. Amini au usiniamini kazi kwako.
Doct tupe ushaidi wa waginjwa waliopona
 
Kuna H.I.V za kutengeneza kishirikina, hizi ndizo zile watu wanazoponywa makanisani.

Hembu chukua hatua sasa.
Kumbe watu wameadvance kiasi hiki,wanatengeneza hadi HIV?
 
Hapo hakuna mgonjwa wala nini ni deception na kundi lake wanatafuta vichwa vya kupigia hela mwaka mpya na mwakani. Hili ni tangazo la biashara kutafuta wagonjwa walio desparate. Huyu deception atawapata sana
Kama ni kweli mkuu! Hatari kubwa hii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…