Nifanyeje nipate gpa nzuri

usain 10

Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
8
Reaction score
1
Naomba msaada wa maelekezo ya kuweza kupata GPA nzuri jinsi zinavyo gawanywa kuanzia first mpaka mwisho:amen:
 
upo chuo gani?,kama ni udsm punguza usingizi na usidharau test,asgnment.
 
Acha utoto ,tumia pesa vizuri, acha tamaa, soma anayofundisha mwalimu na uelewe sio kumeza, hudhuria lecture zote, never miss test or quiz, kama kazi ni ya kundi kuwa kiongozi ili uhakikishe inafanyika vizuri
 
Endelea na maisha uliyotoka nayo kwenu!usiige ya wenzio
 
Piga kitabu mtindo mmoja hiyo ndio siri ya mafanikio. Ukijiwekea utaratibu mzuri na kuuheshimu kila siku iendayo kwa Mungu hata Mwalimu akitangaza mtihani wewe unafurahia maana una uhakika utapasua kwa kiwango cha juu.
 
Msuli wa chuo sio wa sina ndugu,
usisome kichoyo peke ako peke ako
fanya discussion na watu!!!!
 
Tafuta desa za mkamdawile/makumaku/moody etc
 
Kwanza, acha kuiga tabia ambazo hukuwa nazo, zitakumalizia muda wako ukiwa kwenye harakati ya kuzizoea au kuzi-practice.

Pili, hudhuria lecture zote na jitahidi uelewe kile unachofundishwa. Halafu tafuta muda wa ku-rewind au ku-reflect au ku-recall yale uliyofundishwa ukiwa peke yako bila kusoma notes, sehemu zinazokushinda ku-recall ndiyo unajikumbushia kwenye notes kisha kariri kupitia kurecall.

Tatu, pitia past paper kwa kuzi-solve ukiwa na wenzako kwenye group discussion,kisha kasome kwenye notes sehemu walizotoa maswali.

Ukifanya hivi, mabanda utakuwa unayapata kwa urahisi sana na GPA yako itakuwa ni ya pekee!
 
Kwanza nunua simu kali,tcha akfundsha uwe unachat fb na jf. Shnda getho ukiangalia series, usiwe unafanya tests,bum liktoka ukakeshe bar hadi mate wako aje akubebe,nunua pamba vitabu sio lazima. Piga picha za uchi tukazkute raha tupu. Good lucky.
 
Kwanza nunua simu kali,tcha akfundsha uwe unachat fb na jf. Shnda getho ukiangalia series, usiwe unafanya tests,bum liktoka ukakeshe bar hadi mate wako aje akubebe,nunua pamba vitabu sio lazima. Piga picha za uchi tukazkute raha tupu. Good lucky.

Kwa kuongezea, hakikisha unawadharau ma lecturer wote, waone vilaza.
 
Makazi yako yahamishie jumba la vilaza ''maktaba''.
 
WEWE unataka kujua GPA nzuri zinavyopatika ya kwanza hadi ya mwisho itakusaidia nini hasa? Lecturer ndio anatakiwa kujua hilo ili aweze kuwazawadia wanafunzi kutokana na performance zao. Wewe komaa na kitabu basi. Labda kwakukusaidia au ushauri ni kwamba Assignment usipende kucopy za wengine, hakikisha class unahudhuria, tengeneza group discussion, kabla ya discussion hakikisha ulisha jisomea ili ukachangie sio kuitikia tu, hakikisha ulichofundishwa kwa siku una review na weekend unafanya general review, soma reference mbalimbali, usipende kutumia supporting docs kwenye mtihani, wapende walimu, wapende wanafunzi wenzio, kwa ushauri huo usipo fanya vizuri utakuwa KILAZA, namaliza kwakusema AKILI YA KUPEWA CHANGANYA NA YAKO.
 
Chukua vitabu vyote viroweke ndani ya maji kwa muda wa wiki moja halafu kunywa maji yake kutwa mara tatu utApata gpa 5
 
Kwanza nunua simu kali,tcha akfundsha uwe unachat fb na jf. Shnda getho ukiangalia series, usiwe unafanya tests,bum liktoka ukakeshe bar hadi mate wako aje akubebe,nunua pamba vitabu sio lazima. Piga picha za uchi tukazkute raha tupu. Good lucky.

Akili kichwani mwake sasa
 
Hebu acheni utahila kama mtu huna cha kumshauri mtu muache apate ushauri mzuri siyo kuropikaropoka tu,meenzenu yuko siliazi kuomba ushauri halafu mjitu mingine inatema pumba tu.
 
1. Lecture; Sikiliza elewa na take short notes

2. Library; Extensive review on what has been taught

3. Seminar; Exchange of views,what has been taught and what you have reviewed

4. Group discussions; Preparatory phase for seminars,tests,take home assignments and exams

5. Continuos assessment; Hii ndio akiba humfaa mtu uzeeni,kikfaacho mtu chake na mengine kama hayo yenye maana sawa!!!!!!

6. Final exams; Summary of lecture,seminar,take home and discussions, unaandika tu kama unachat laaaaaaiiiiinnnnnnniiiiii haina jasho wala shanapa!!!!!Unatoka unacheka tu maana hapo unaempty mind kwa ajili ya semester ijayo huku ujuzi ukibaki nao!!!!!

Ratiba ndio kila kitu,nidhamu ndo mpango wenyewe,muumba ndio captain wa jahazi!!!!!!!


Be blessed!!!!!!
 

Nadhani hapo ndipo alipopataka, Kazi kwake GPA haipatikani kwa kushauriwa tu , Bali ukipata ushauri ufanye kwa vitendo , out of that ni karai mwanzo mwisho, mbili na wewe wewe na mbili ,tafakari na chukua hatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…