Vuta ndumu huwe kama manara.Wakuu,
Kwa kipindi kirefu najitahidi angalau niwe na mapenzi na hizi timu zetu, soka La ndani, nashindwa kabisa.
Mimi ni mpenzi Wa soka, na ni mzalendo haswa, ila mambo ya VPL, habari za soka LA ndani siwezi hata kusoma.
Hasa nikiona mambo kama vile fitna na mitafaruku katika vilabu, mambo yasiyo na weledi katika uendeshaji wa vilabu hivyo, kuchanganywa michezo na politics nk.
Je, kuna meditation yoyote?
Asanteni.
Tunamatatizo tofauti yanayofanana , DDDDMimi natamani niache kushabikia soka la ndani lakini nashindwa. Hata mimi sijui nifanyeje.... Yaani najitahidi kuto fuatilia weeee lakini ikifika siku Simba SC inacheza naahirisha kufanya mambo yangu mengine yote ili nifuatilie hiyo mechi. Ila mechi za nje sina mzuka nazo kabisa
HahahahaVuta ndumu huwe kama manara.
πππππ utani wa ngumi huoVuta ndumu huwe kama manara.