MPAMBANAJI.COM
JF-Expert Member
- Mar 2, 2011
- 712
- 332
kuwa handsome kweli shida.napata shida sana na hata wakati mwingine siaminiki tena.Jamani nisaidieni niwaelezeje hawa wadada kuwa mie sitaki labda urafiki wakawaida tuuu.Natamani hata nijipake majivu ili kuificha sura yangu.I sometimes find some of them forcing to take my photo.
Jamani naombeni ushauri wenu
Vipi wanaokushobokea ni wadada peke yao au hata na wakaka?
ingekuwa "kupendwa" ningesema acha wakupende lakini kumbe ni "kupedwa"(kama title ya thread inavyosema),ahaa hiyo kataa kabisa na ni aibu kwa kijana handsome "kupedwa". 😛oakuwa handsome kweli shida.napata shida sana na hata wakati mwingine siaminiki tena.Jamani nisaidieni niwaelezeje hawa wadada kuwa mie sitaki labda urafiki wakawaida tuuu.Natamani hata nijipake majivu ili kuificha sura yangu.I sometimes find some of them forcing to take my photo.
Jamani naombeni ushauri wenu
Vipi wanaokushobokea ni wadada peke yao au hata na wakaka?
kuwa handsome kweli shida.napata shida sana na hata wakati mwingine siaminiki tena.Jamani nisaidieni niwaelezeje hawa wadada kuwa mie sitaki labda urafiki wakawaida tuuu.Natamani hata nijipake majivu ili kuificha sura yangu.I sometimes find some of them forcing to take my photo.
Jamani naombeni ushauri wenu
Vipi wanaokushobokea ni wadada peke yao au hata na wakaka?
Heheheheh..... haya ameshajibu hapo chini kazi kwako.swali la msingi sana.
Akijibu, naomba niulize swali la nyongeza.
Na ID yako mbona imekaa kitaarab taarab bin mipasho namna hii? Sasa na huo u-handsome wako si itakuwa balaa kabisa?Hio kitu inanisumbua sana facebook mbk nime deactivate my account yani ni full shida
Hio kitu inanisumbua sana facebook mbk nime deactivate my account yani ni full shida
Na ID yako mbona imekaa kitaarab taarab bin mipasho namna hii? Sasa na huo u-handsome wako si itakuwa balaa kabisa?