Nifanyeje nipunguze kupedwa?

you are finished!

Kiuno chako kimekakamaa ukitembea?
Lips unapaka lip gloss?
Ndevu unazibust na wanja?
Nyusi umepalilia?
Una mapozi ya kineyo neyo?

Hapa patatoa mwangaza kidogo.


sifanyi na pengine sina chochote kati ya hivyo..am not a model by the way am very gentleman but very cooll
 
...hamia Mombasa wakaka wakupede
 
dah kweli kwenye miti hakuna wajenzi
 
...wakati wote napata mashaka sana na wanaume wenye tabia ya kujisifu ati ni mahandsome...
kichefchef...
 
Sina la kushauri zaidi ya kukupa hongera handsome boy...
 
Ungana na wanaharakati mlale barabara ya magogoni ili ile sera ya Cameron ipitishwe... wenyewe watasepa..
 
mwee hv dunia inaenda wap na uanaume nao waende wap?
 
pole sana kwa balehe inayokusumbua,naamini ukishavunja ungo utaacha kuandika v2 kama hivi hapa jf.

Umemjibu vizuri sana,ni barehe na foolish age zinamsumbua,kulakulala kwa baba(KKB) ikiisha na kuanza kuhustle kitaa kutafuta maisha huo ***** ndio utaisha,vumilia mkuu yataisha hayo!!!!!!!!! Siku hizi mademu hawashobokei mandsome hata kidogo,wanashobokea pakeee,ukikua utajua tu mwana.
 
watu mtokao fb hebu mkifika huku somen mazingira kwanza kabla ya kukurupuka at...!alaaaa
 
kijana hebu jibu swali hili!ukijiangalia sura na umbo lako umefanana na mama yako au baba yako?kama umefanana na mama yako dont call yourself handsome,ur just beautiful boy!
 
Unamatatizo kweli kweli.
Yaani unalalamika sababu we mzuri badala ya kushukuru.

Pili hata uwe na sura chachu watu hawawezi kukwambia LIVE una sura mbaya.
Bali watakusifu tu . (kwa hiyo usijisikie saaaana mtu akikwambia "Kaka we ni mzuri")

Tatu punguza muda wako unaoutumia kwenye kioo. hiyo itakusaidia.
 
kijana hebu jibu swali hili!ukijiangalia sura na umbo lako umefanana na mama yako au baba yako?kama umefanana na mama yako dont call yourself handsome,ur just beautiful boy!

hahahahahah u made ma sweet 9t indid!hahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…