mpe na madhara yake miaka ya baadaeKula vigra au cialis utakuwa ok mjomba. Tatizo dogo sana hilo sasa. Hii dunia ya sayansi na teknolojia.
Sent from my LG-V522 using JamiiForums mobile app
kafil.waMkuu hebu nyoosha maelezo kidogo yani hapo kuna jinsi haujaelewaka kwa upande wangu ili niweze kukupa ushauri.
Umelalwa ndio kufanya nini?
mkuu mbona unaonekana kama sio mtu mzuri sana...aje dm unataka utete nae nini tena,,..kwnn usimwage maushaur t apa apaNi PM nikupe dawa.
papaa maglass
Nani anajali miaka ya baadae. .mtu anataka kula raha leo, ya baadae ayajuaye ni mola wetu tu.mpe na madhara yake miaka ya baadae
sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA