MTANZANIA MWENZENU YAMENIKUTA...
Kuna likampuni la marekani lilinidanganya niwekeze. Halafu faida inayopatikana litanitumia asilimia kumi ya faida. Kweli faida limenirushia
lakini kwa njia ya sarafu za digital. (Cryptocurrency).
Nimepata $2,332. Nifanyeje ili niweze kuibadili iwe Fedha. Kama Kuna mtaalamu yeyote humu anisaidie. Au Kama Kuna mtu yeyote aliyewahi kukumbana na changamoto hii atusaidie na sisi.