Nifanyeje nizoeane na majirani?

Heeheee[emoji848]
 
Hii pia ni mbaya mtoto akipata food poison sehemu nyingine akafa jumba bovu linamuangukia huyo
 
Huna mke na watoto?Hao ndiyo kiboko kwa kuanzisha ujirani.Kama kuna mini-bar jirani na unatupia chombo nenda utawajua majirani.😝😝😝😝😝😝😝
 
Sawa tunawahitaji sana watu lkn inabidi uwe makini sana

Kuna mmoja kasema eti ukae nao baa za kitaa ulewe nao[emoji848]

Pombe unaijua hujaropoka mambo yako kwao, usiku hao hao wanakuingilia mapanga shaa
 
Umemmaindi sana dah,,, sema ndio hivyo mie mwenyewe nahisi kuna watu watakuwa wanahisi ninaringa ila mie sina habari! Sifa nilionayo tu kitaa wanajua mie sio kicheche [emoji28][emoji28][emoji28] na kijana mpole sana
[emoji16][emoji16][emoji16] kumbe mzee wa utelezi

Haahaahaa
 
Kuna majirani wengine hawapendi mazoea, wanakufurahia sana.
 
Wewe ukija huku united states na europe utapata shida sana. Ni kitu cha kawaida mno. Hao sasa wameadapt maisha ya wazungu na ndipo tunakoelekea siku 1000 zijazo
 
Watangazie kuna kiti moto bure.
 
Atapewa kesi ya ubakaji soon
 
Hivi ni kwa nini
Tumeumbwa hivyo wenye kujitambua huikata hiyo khali.... Ukiwa na hela simply unafeel safe kwamba hakuna msaada wowote utahitaji kutka kwa mtu na ndio dunia inavyotuaminisha kila siku lakini ni La hasha !!!.
 
Huyo Mtume Muhammad unaemsema amehusia Sana watu waishi kwa wema na akazitaja had haki za jirani kwa jirani mwenzake
Kama husalimii majiran na unajitenga nao ww bado humfati Muhammad (S.A.W
Hakuna sehhemu nimesema sisalimii majirani. Hakuna sehemu nimesema najitenga na majirani.
 
Itisha kikao kwa majirani wote alfu jiteue kuwa mwenyekiti au balozi au mtafute mwennyeji wa muda muweke kikao Cha ujirani mwema hapo mtampata majiran wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…