Salaam wana JF,
Nimetumia plywood kama kuta za banda la kuhifadhia bidhaa zisipigwe na jua. Kunyeshewa mvua za wiki mbili tuu imebadilika rangi na kuwa nyeusu. Nikashauriwa, nikapaka rangi ya mafuta upande ambao haukuwa umenyeshewa ila haikamati.
Nifanyeje wakuu?