usigonge mzigo hadi 2013
jaman humtakii mwenzio mema weye,
hapo atamuadhib mke au anajiadhibu mwenyewe jaman...2013 loh.
ss hapo na vice versa ni true.atakuwa anaiba mara moja kwa miezi 3 nje
ajitahidi tu
hakuna adhabu kubwa kama hiyo
Funga nyumba tambaa na funguomke wangu ananikaidi sana maamuzi yangu. alienda kwao kumsaidia mama yake kazi fulani, alivyomaliza hakurudi mapema kama nilivyomuagiza, mpaka sikukuu ya xmass imepita ndio anakuja, nimemzuia asije tena mpaka nitakapo muita... lakini anakuja tu kinguvu... mama mkwe apokei simu yangu..... NIMUADHIBU VIPI???? HASA KISAIKOLOJIA????
ss hapo na vice versa ni true.
mkewe nae awe anajiiba mara moja baada ya miez 3.
unadhan nn kitafuatia jaman.
ww mwaka mzima uko 2 kwa kakobe jaman hakunaga iyo.kama mume hagongi mzigo
hakuna mwanamke anayewaza kuiba
sanasana utamkuta kwa kakobe anaombewa
akiiba ujue alikuwa naye siku zote
ni mume mwenzie wa milele
mmh kongosho huo sio ushauri mzuri bhana watamgongea mke huyo.....usigonge mzigo hadi 2013
mke wangu ananikaidi sana maamuzi yangu. alienda kwao kumsaidia mama yake kazi fulani, alivyomaliza hakurudi mapema kama nilivyomuagiza, mpaka sikukuu ya xmass imepita ndio anakuja, nimemzuia asije tena mpaka nitakapo muita... lakini anakuja tu kinguvu... mama mkwe apokei simu yangu..... NIMUADHIBU VIPI???? HASA KISAIKOLOJIA????