Nifanyeje psychological punishment kwa wife?

alisema anamsubiri dada yake aje amuone mtoto, tukakubaliana trh 18 awe amerudi, lakin amekaidi. NAMFUKUZA CHUMBANI ALALE NA BEKI TATU

Kama kupitiliza hapo kazidisha...so christmas umei-spend alone...Pole sana. Hiyo adhabu kwa kweli utamnyoosha,maana hadi beki 3 atajua master bedroom kimenuka...

Otherwise,user name yako...nimeipenda!
 
Nakaribia kuchoka na ndoa za leo!Ndugu hebu tulia kwanza usifanye chochote baada ya mwezi mmoja kisha ndo uamue.Nina maana yangu kukuambia hivyo,hebu aribu!
 
alisema anamsubiri dada yake aje amuone mtoto, tukakubaliana trh 18 awe amerudi, lakin amekaidi. NAMFUKUZA CHUMBANI ALALE NA BEKI TATU

hiyo tarehe 18 mliyokubaliana dada yake alikuwa ashamuona au bado? halafu ukimfukuza chumbani utapata faida gani? zaidi housegirl atawadharau, unadhani itasolve tatizo? badala ya kukaa mzungumze mnafukuzana. Ndoa sio lele mama ndo maana nikakwambia nyie watu wazima wawili hamuendeshwi kwa kuamrishana ni kwa kuzungumza kwa upendo na kukubaliana
 
Nakaribia kuchoka na ndoa za leo!Ndugu hebu tulia kwanza usifanye chochote baada ya mwezi mmoja kisha ndo uamue.Nina maana yangu kukuambia hivyo,hebu aribu!

bora wewe unakaribia kuchoka, mie ndo nishachoka kabisa
 
hivi hizi ni ndoa au ndoana??? ndo mana siku hizi wengi tunaamua kubaki peke, si wanawake si wanaume wote ni wale wale tu. ah.

/
/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…