Nifanyeje

Ah! wanawake wengine bwana, kwani we ndo ulompa jina huyo mtoto? si amtukane mumewe. wewe utaweza kubadili hilo jina kwa hayo matusi??
achana nae shoga asikufupishie maisha :angry:
 
kwani kuna ubawa huyo mtoto akawa wa jina wko? kingne shukuru huyo mchizi anakupenda na hataki kukusahau kbs upo kwa hyo mtoto anaitwa fanta face? its nice name

Kunipenda ananipenda maana hatukuachana kwa ugomvi ila sasa huko alikofika ndo kubaya SIMUELEWI
 

Nashukuru sana dada kwa ushauri huu Mwenyezi Mungu akubariki sana Asante
 
Ah! wanawake wengine bwana, kwani we ndo ulompa jina huyo mtoto? si amtukane mumewe. wewe utaweza kubadili hilo jina kwa hayo matusi??
achana nae shoga asikufupishie maisha :angry:

Mwenzangu yaani nabeba mzigo usiobebeka asante
 
klAMA UNATUMIA nOKIA WEKA CALL DIVERT NAMBA ANDIKA YA BWANA YAKE THEN ATAKUWA AKIPIGA INAKWENDA KWA BWANA WAKE HAPO ATAKUWA HANA LA KUSEMA.
 
Wengi wamekueleza kila mtu kwa uwezo wake kujaribu kukupatia suluhisho.
Nikisoma
Kwa kina sana maelezo yako yanaonesha hata baada ya jamaa kuoa hukukata mawasiliano nae pia jamaa hana busara kwani inaonesha amekuwa akikutaja na pengine kukusifia kwa mkewake(hali hii hujenga chuki kwa kiwango kikubwa sana), ikiwa ndio sababu ya mke kukujua na kukuchukia.
Muimu ni kuhakikisha unakuwa complitely silence na kuingia gharama yoyote kusababisha kuvunjika kwa mawasiliano ikimaanisha hata namba za cm ubadilishe, kwa sababu mke anazidi kukuchukia kwani anajua mumewake anawasiliana nawe na anakupenda bado (inawezekana anakuta msg/sent item kwenye cm ya mumewe, pia reactions anazoonyesha juu ya mtoto zaidi akitaja jina la mtoto anaweza akawa anazungumza maneno yanayomuudhi mke kwani yanamkumbusha wewe). hii inamjengea chuki moyoni hujui atafanya reaction gani siku za usoni anaweza hata kukodisha watu wakudhuru ili mradi kukusababishia maumivu. Ingewezekana ungeolewa ili ajue hauko na mumewe tena na haumuitaji. Pole dada usiache kumwomba MUNGU kwani ndiye muweza wa yote.
 
laiti kama mioyo yetu ingekuwa inasema wandugu sio wote waliopo ndani humo ni mapenzi,ushauri kwa mdada ahangaike na mumewe huyo dada mwingine anapoteza nguvu zake tu bila sababu.

fanta face acha majibizano na mkewe usipokee simu wala kujibu msg yoyote kutoka kwake huo ndo ushauri wangu.
 
klAMA UNATUMIA nOKIA WEKA CALL DIVERT NAMBA ANDIKA YA BWANA YAKE THEN ATAKUWA AKIPIGA INAKWENDA KWA BWANA WAKE HAPO ATAKUWA HANA LA KUSEMA.

Nilijaribu njia hii nikashindwa asante kwa ushauri
 

Nitafata ushauri wako ila huo wakuolewa bado namsubiri mchumba wangu amalize masters yake akirudi ndo tunaweza kuoana na hiyo ni mwaka 2012
 

Unafikiri namjibu basi nikipokea simu ambayo namba siijui na akiongea yeye huwa nakata nikishafanya hivyo msg itakayokuja hapo ni matusi mazito sasa msg huwezi acha pokea asante kwa ushauri wako nitaufata
 
Mimi naomba tu nikusalimu dada Michelle...nimekumiss kwelikweli! Hope everthing is fine with you!

Kumbe nawe pia KH eh! pole sana...Michelle usipotee jukwaani kipindi kirefu utaacha wakaka/wadada wanywe sumu bure! Kisa wamemmiss Michelle kipenzi chao LOL! Haya wote wawili msikose kule kwa GUNNERS baadaye leo kushangilia kwa nguvu zenu zote ili tujikusanyie 3 points.
 
Pole Fanta Face. Unajua kukaa kimya na kutulia ni solaha moja kubwa sana kwa mtu anayetukana na kupiga makelele. Mi nakushauri unyamaze kimya. Hata aandike nini nyamaza kimya!!!

Akipiga simu ukipokea ukikuta ni yeye mwambie samahani niko bize nipigie baadae. Chochote atakacho fanya wewe tulia tu, huku ukimuomba Mungu ulinzi. Najua kwa Neema ya Mungu atatulia tu.

Halafu napo nimejifunza kitu kingine, akizaliwa mtoto akike nitaomba mi nimpe jina, akizaliwa wa kiume nitaomba hyo kichwa ampe jina yeye, sasa sijui atakubali. Manake kumbe mtu anaweza kumpa mtoto jina la ex wake alomjaa moyoni bwana. Dah nimegundua......
 

Asante kwa ushauri
 
<p> </p>
<p>&nbsp;</p>


mhh mi naona Kama fanta face unajifigilia vile, mie nazani jina ni jina sio sababu zamani ulitembea na mume wa huyo dada uzani ndio mumewe kampa jina kwaajili yako, na huyo mke nazani anakutukana kisa kajua ulishawahi kulambwa na mumewe na sio jina Kama unavyojidanganya lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…