Kaka niko chini ya miguu yako muelekze atawapata wapi (kimkoa au personaly) maana atakosa ujasiri siku c nyingi huyu mwenzetu.Lakini jamani mbona wanawake wengine wanafagilia sana hii kitu? msimkatishe tamaa bana wako wanawake wanapenda sana za hivo.
Jamani naingia kwenye hili jamvi nikiwa na masikitiko makubwa.mwenzenu nina tatizo ktk mahusiano yangu ya kimapenzi,mwenzenu nina tatizo la kuachwa na wanawake kisa kwamba sijatoa go**i na kwenda kutoa hospital mila zetu haziruhusu mchango wenu tafadhari wadau!
mwone JF doctor kwa ushauri zaidiJamani naingia kwenye hili jamvi nikiwa na masikitiko makubwa.mwenzenu nina tatizo ktk mahusiano yangu ya kimapenzi,mwenzenu nina tatizo la kuachwa na wanawake kisa kwamba sijatoa go**i na kwenda kutoa hospital mila zetu haziruhusu mchango wenu tafadhari wadau!
nimeipenda hii mnoooo meeeeeeeeeeeeen21century unatembea na gov*i ni girl gani atafurahia huo uchafu....kama vipi mtafute tu kwenye kabila lako.