Shem,hawa ni 2nd cousins,kama ni upande wa kuumeni mi naona ni marufuku maana wana u bin mmoja (meaning babu zao walikuwa baba mmoja mama mmoja),lakini kama ni ukeni (bibi zao baba mmoja mama mmoja) mi naona kiafrika hapo ruksa maana ni ukoo(oluganda) tofauti kabisa.Yaani umekosa kabisa mwanaume mwingine?? Mweehh Dunia hii ina mambo
Lakini kuna makabila yanaruhusiwa kuoana mabinamu...........................
Kama ruhusa poa tu
Swali la kizushi: Na huyo binamu nae anakupenda kama vile wewe unavyompenda??
au ni kwasababu wewe umempenda?? (Si lazima ujibu)
ka red hako ...........mmmmmmmmmmhhhhhh!!!!!!!!!!!!Mtakua wachaga tu nyie!Anway,nenda kwenye kitabu cha iman yenu mkaangalie kinasemaje kuhusu hii kitu!
Labda wachaga wa singida au dodoma...ila kwa wachaga wa kilimanjaro nnapopajua mimi hawana huo upuuzi wa kuoana mtoto wa mamkubwa na mamdogo/ mjomba au shangazi. Hao ni kaka na dada kabisa..Mtakua wachaga tu nyie!Anway,nenda kwenye kitabu cha iman yenu mkaangalie kinasemaje kuhusu hii kitu!
twapendana, kabila letu haliruhusu kabisa hayo mambo.
ninampenda causine wangu. yani mabibi zetu wamewazaa wazazi wetu hafu wazazi wetu wametuzaa sisi watoto. watoto ndo tunapendana. nifanyeje jamani naomba ushauri wenu.
ahsanteni wote kwa maoni yenu, yan so hard kiukweli at first tulikuwa kawaida tu lakini tukawa close tukakuta kuna vitu tunashahabiana. siku moja akanikaribisha kwake nikaenda kumtembelea hapo nilienda kama causine na wala sikuwa na mawazo yeyote ya kuwa mpenzi wangu. but nilivyokaa nae muda mrefu kwa siku hyo nkaanza kufeel tofauti nkawish asingekuwa ndugu yangu mana ni mcheshi, lovely lakini nikasema huyu ni ndugu yangu sitakiwi kuruhusu huu ujinga kufanyika. but you kn wat happen wakati naondoka kurudi hme wakati namuaga akanikumbatia zero distance then akanikiss. jamani tulifanya romance kiukweli ila atukuvunja amri ya sita mana nilikuwa kwenye siku mbaya. baada ya hapo nilifeel tofauti kiukweli na nikatamani awe mpenzi wangu ila nikasema nipotezee mana sijui upande wa pili na nkajitahidi kujisemea mwenyewe kwamba kissing with ma causine ni mistake na sitakiwi kuirudia hii mistake ila tatizo linalonikabili ni kwamba huyo causine nae anasema since amenikiss anafeelings juu yangu ndo mana hapo naona ugumu. binafsi najua ili ni kosa ila yeye anaona ni sawa na kila ninapojaribu kumuelezea ili na yeye aone ni kosa hanielewi anachosema tu ni kwamba mimi nakupenda hayo mengine sitaki kujua. ndo mana nikalileta ili kwenu mnisaidie. siyo utani ni issue ambayo iko serious na inaniumiza kichwa kwa kweli. kama mungu ananipa mtihani nahisi huu ntafeli jamani. please naomba mnisaidie nadhani ushauri wenu utanisaidia kufanya maamuzi mazuri. thank you all

na yeye binamu alikuwa anasema hvyo hvyo tufanye then tuishie hapo, sasa tukinogewa je? kiukweli kwangu akili inawaza kuvunja nae amri ya 6.