Sijajua wewe ni wa jinsia gani?
Sijajua wewe ni wa jinsia gani?
Jitahidi uendelee kukomaa tu ndugu yangu ukimfuata sasa yeye ndo atakwambia hakutaki na utakachokuwa umefanya ni kujidhalilisha tu. Mi nikipiga demu chini kwanza nikimkumbuka tu Navuta negative memories zake alafu nazijumlisha pamoja zinakuwa ni Lundo la maovu. Alafu najiuliza kweli ninataka niyarudie haya...............?
Tafuta mwenye pesa poor men are insecure alwaysJamani nilikuwa na mchumba wangu siku si nyingi zilizo pita lakini siku zilivyo endelea mbele nikaja kugundua sio mwaminifu kwangu nikimuuliza swala lolote lile anakuwa mkali na kuniambia eti nisimchangaye kwani kuna wanaume wangapi leo nika jitutumua na kwumwambia kuanzia leo tuachane akaitikia kwa upole nika ondoka lakini roho inaniuma na mimi nachotaka ni kumsahau na kuchukulia kitu cha kawaida na shidwa nifanyeje kupunguza hizi stress msaada jamani kaka zangu na dada zangu?
mmezoea kubembelezwa, kina dada sasa mchozi basi, mtu akibeep unaitikia ameen.
No more tears ladies, wanaume wamejaa wanatafuta wakufanya nao mahusiano.
wakati huponya mengi