mainjinia wa computer mko wapi???? Saidia hapa!
Nimejaribu ku-restart lakini bila bila...Mkuu hii inatokea mara nyingi baada ya ku download na kuinstall updates toka Microsoft. Unachotakiwa kufanya kwa kirahisi ni ku restart Laptop yako na kubonyeza (nenda kwenye safe mode) halafu chagua Last known good configuration" au System Restore. Hapa chagua tarehe kabla hujafanya updates. Ikishindikana hii, jaribu recovery kutumia Windows CD...na kama nayo haiwezekani tujulishe-kuna namna nyingine ya kurestore DLL file.
Nimejaribu ku-restart lakini bila bila...