Wakuu nipo katika mchakato wa kununa nyumba maeneo ya hapa Dar nahitaji nyumba ya kisasa zaidi lakini naomba mnisaidie msaada wa kisheria, taratbu zipi nizifate ili nisije kutapeliwa na wajanja wa Mji naomba wale mnaojua sheria za ununuzi hasa wa nyumba mnipe Information ili nipite katika njia salama