Nifate Taratibu gani HESLB ili kuhama chuo ?

Nifate Taratibu gani HESLB ili kuhama chuo ?

kmyaga

New Member
Joined
Dec 26, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Ndugu wana JF naomba kuuliza, ninasoma mwaka wa kwanza chuo cha uhasibu Arusha .Nataka niombe chuo kingine mwaka huu.

Je nifuate hatua gani ili nitakapochaguliwa sehemu nyingine nipate na mkopo nilionao sasa?

Ahsanteni
 
Back
Top Bottom