K kmyaga New Member Joined Dec 26, 2014 Posts 1 Reaction score 0 Jan 5, 2015 #1 Ndugu wana JF naomba kuuliza, ninasoma mwaka wa kwanza chuo cha uhasibu Arusha .Nataka niombe chuo kingine mwaka huu. Je nifuate hatua gani ili nitakapochaguliwa sehemu nyingine nipate na mkopo nilionao sasa? Ahsanteni
Ndugu wana JF naomba kuuliza, ninasoma mwaka wa kwanza chuo cha uhasibu Arusha .Nataka niombe chuo kingine mwaka huu. Je nifuate hatua gani ili nitakapochaguliwa sehemu nyingine nipate na mkopo nilionao sasa? Ahsanteni