dr namugari JF-Expert Member Joined Nov 19, 2022 Posts 10,466 Reaction score 18,206 Jun 28, 2024 #1 Wakuu hiki kitu masiki tu kuwa. Kuna mikopo inatolewa bila riba kwa. Vijana na CAG kweny taarifa yake allisema mikopo hyo ni chechefu Na mimi nataka nipate mkopo huu kama raia wa taifa hili Sifa zangu ni kama zifatazo Ni raia Sina kazi Ni machinga mdogo mdogo Sina ardhi yoyote
Wakuu hiki kitu masiki tu kuwa. Kuna mikopo inatolewa bila riba kwa. Vijana na CAG kweny taarifa yake allisema mikopo hyo ni chechefu Na mimi nataka nipate mkopo huu kama raia wa taifa hili Sifa zangu ni kama zifatazo Ni raia Sina kazi Ni machinga mdogo mdogo Sina ardhi yoyote
amshapopo JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 1,834 Reaction score 4,161 Jun 28, 2024 #2 Mkuu kumbe ni mganga njaa tu, unavyotanuaga mabega kwenye comments zako nikajua mtu wa maana kumbe Chinga. Shikamoo JF
Mkuu kumbe ni mganga njaa tu, unavyotanuaga mabega kwenye comments zako nikajua mtu wa maana kumbe Chinga. Shikamoo JF
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Jun 28, 2024 #3 Fanya uchawa, chukua kadi ya uvccm, ama kama mzee basi chukua kadi ya wazazi shiriki vikao vyote - hata ikibidi sapoti ujinga - ikibidi wachome watanganyika wenzako for ur better future. (Warning: Never try this at home)
Fanya uchawa, chukua kadi ya uvccm, ama kama mzee basi chukua kadi ya wazazi shiriki vikao vyote - hata ikibidi sapoti ujinga - ikibidi wachome watanganyika wenzako for ur better future. (Warning: Never try this at home)
ngosha wa mwanza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 3,832 Reaction score 11,964 Jun 28, 2024 #4 Jitahidi kua karibu na wana chama pendwa na kadi yaa uanachama uwe nayo dili kama hizo hutozikosa mapema
Jitahidi kua karibu na wana chama pendwa na kadi yaa uanachama uwe nayo dili kama hizo hutozikosa mapema
bandeko andeko JF-Expert Member Joined Oct 20, 2021 Posts 1,080 Reaction score 2,143 Jun 28, 2024 #5 nenda kwenye halmashauri ulipo utapewa utaratibu au pia unaweza anzia kwa watendaji wa mitaa/vijiji.
M Mzalendo120 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2022 Posts 1,842 Reaction score 2,410 Jun 28, 2024 #6 Ukada nao ni kigezo. Tafuta kadi na nguo njano na kijani ziwe na picha ya jembe na nyundo. Ukiingia ofisini unapita bila kupingwa
Ukada nao ni kigezo. Tafuta kadi na nguo njano na kijani ziwe na picha ya jembe na nyundo. Ukiingia ofisini unapita bila kupingwa