Mtaka Haki
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 492
- 149
Nimekuwa nje ya nchi na namna ya kufuatilia habari zinazoendelea imekuwa ni hapa kwenye jf na kupitia magazeti kwenye mitandao.
Nimesikitika kuwa gazeti hili ambalo linaandika vizuri sana habari za kampeni za chadema kwenye mtandao linakuwa liko toleo la nyuma sana.
Gazeti la tanzania daima linamilikiwa na kiongozi wa upinzani. Huu ungekuwa ni wakati wake wa kwenda na wakati kwa kufanya lipatikane mara likitoka kwenye mtandao kama wanavyofanya gazeti la mwananchi.