Nifuate taratibu zipi?

Joined
Nov 20, 2015
Posts
23
Reaction score
1
Nilifiwa na mzazi wangu ambae alikuwa mtumishi nikiwa mdogo sana.Mpaka leo yapata miaka 18. Nimejaribu kufuatilia mirathi katika halmashauri husika nakaambiwa hakuwa anachangia mfuko wowote ,hivyo ni kosa la mwajiri na mwajiriwa.

Hivi ni kweli? Nifanyeje wadau?
 
Sasa kama hakuchanga upewe nini? Unless una ushahidi wa documents za membership yake ktk mfuko wowote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…