Mkuu nahisi hayo mashirika yana websites zao tafadhali kama una muda uliza online au wafuate in person kwenye vituo vyao.Watu wengi wanaotoa huduma binafsi za kifedha kama NMB WAKALA, CRDB WAKALA, M PESA, TIGO PESA n.k hua unakuta TILL namba siyo za majina yao na siyo kwamba wanapenda lahasha!
Pengine ni kutokujua taratibu za kufuata kupata Till ambazo zinaendana na majina yao wanaaumua kutumia shotkat kununua tu za mtaani.
Sasa jamani ambaye anaufahamu kuhusu utaratibu wa kufuata kupata uwakala au till kwa jina halisi naomba anieleweshe.
Mkuu kwa wenye mitaji mikubwa hawana haja ya kununua till kwa watu ila wale wenye mitaji midogo wanaamua kununua kwasababu ukienda kuchukua till lazima uwe na mtaji I guess 1600000 ambapo laki nane waitaiweka kama float itakayobaki ndio utumie kama cash ya kuwapa wanaotoa.Watu wengi wanaotoa huduma binafsi za kifedha kama NMB WAKALA, CRDB WAKALA, M PESA, TIGO PESA n.k hua unakuta TILL namba siyo za majina yao na siyo kwamba wanapenda lahasha!
Pengine ni kutokujua taratibu za kufuata kupata Till ambazo zinaendana na majina yao wanaaumua kutumia shotkat kununua tu za mtaani.
Sasa jamani ambaye anaufahamu kuhusu utaratibu wa kufuata kupata uwakala au till kwa jina halisi naomba anieleweshe.
Njia nzuri ya kufuata ni kuandaa mtaji wa kuridhisha.Watu wengi wanaotoa huduma binafsi za kifedha kama NMB WAKALA, CRDB WAKALA, M PESA, TIGO PESA n.k huwa unakuta TILL namba siyo za majina yao na siyo kwamba wanapenda lahasha!
Pengine ni kutokujua taratibu za kufuata kupata Till ambazo zinaendana na majina yao wanaaumua kutumia shotkat kununua tu za mtaani.
Sasa jamani ambaye ana ufahamu kuhusu utaratibu wa kufuata kupata uwakala au till kwa jina halisi naomba anieleweshe.
Namba au kitambulisha cha Taifa (Ikipatikana copy Ya kitambulisho itapendeza )
Namba ya Mlipa kodi TIN (Certificate copy inahitajika lazima)
Leseni ya biashara iliohai
picha Passport size
Kumbe ni rahisi tu aiseeNjia nzuri ya kufuata ni kuandaa mtaji wa kuridhisha.
Vitu vifuatavyo lazima uwe navyo.
NB: Kuna baadhi ya makampuni wanahitaji hizo copy zako za TIN, Leseni na Kitambulisho lazima zipigwe muhuri wa Mwanasheria, Na pia kama Utatumia Jina la Kampuni badala ya Jina lako basi itakulazimu uwe na Tax Clearance Form na documents zingne za kampuni.
Kuhusu Bei za Hizo laini inategemea na utakae kutana nae na kumweleza shida yako. Wengine hata free watakufanyia hiyo kazi ila tu ukubaliane na Kiwango cha mtaji kwa Mara ya Kwanza kuingiza kweny laini yao.
Urahis upo ukiwa na hivyo vituKumbe ni rahisi tu aisee