Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Jamaa wewe ni mzoefu kabisa kwenye hii Dunia vipi kama ni mafao yake?😹😹Mkuu Hicho kilichokupa 10M si uendelee nacho?
Nchi matapeli wanakingiwa kifua na serikali huku wametapeli watu wengi sana Kwa kuuziwa vijogoo vitupu.Hapa ndio watu wanapigwa, too sweety to be true.
Matapeli fulani walipita kule Rukwa kiushawishi wazee wastaaf walime Pilipili kwa wingi eti zinahitajika huko Nje, Wakawauzia mbegu kwa Ahadi kwamba wasiwazw kuhusu solo, wao ndio watanunua.
Wazee wakajiunga vikindu watanunua mbegu kwa malaki na malaki, wazee wakaweka pension zao kwenye kulima mashamba na kuwatunza, Pilipili ikakubali ilipofika muda wa kuvunwa jamaa simu zao haipatikani🤣🤣
Wanajifanya wao ni Kampuni hawawezi kudhulumuNchi matapeli wanakingiwa kifua na serikali huku wametapeli watu wengi sana Kwa kuuziwa vijogoo vitupu.
Semina iliandaliwa vyema akialikwa diwani na kiongozi wa wilaya sijui nani nani watu wakatapeliwa saivi wanaliwa TU.
Duh gunia la pumba mahindi now 32 elfu kwa huko ni ngapi mkuuKwa Jamaa wewe ni mzoefu kabisa kwenye hii Dunia vipi kama ni mafao yake?😹😹
Au ni pesa ya Dili maana nchi hii bila Dili hutoboi😂😂
Aende na kuku awekeze m3-4 TU basi nyingine atulizane kwanza
Anaweza ni pm chap tukabadilisjana nae mawazo
Huku pumba ni 12k la mahindi ya kula yaani nafaka sio pumba ni 30k.Duh gunia la pumba mahindi now 32 elfu kwa huko ni ngapi mkuu
Kuki tuna fuga hivi mkuuDuh gunia la pumba mahindi now 32 elfu kwa huko ni ngapi mkuu