Qaymo moja
Senior Member
- Sep 1, 2017
- 133
- 53
ufute neno marehemu uandike lipi mbadalaNaomba kupewa ushirikiano hapa naona style mpya ambayo risala na wasifu wa marehemu huandikwa na kusomwa mbele ya umma msibani tofauti na tulivyozoea kwa hili nimeliona ndani ya kanisa Katoliki walivyonilazimisha kuandikwa upya kwa ile risala niliyoandaa ya siku zote .
Wao wameniambia nifute neno marehemu ktk risala mwanzo mwisho
Wajuzi wa lugha mje hapa
By mtafuta ukweli
ufute neno marehemu uandike lipi mbadala
Huenda labda mkuuMwenzetu au Ndugu yetu.
Si ndo hapo sasa.Kama hawataki afe si wamfufue...
Aliyefariki si mwenzetu labda utumie ALIKUWA MWENZETU(Wakati uliopita kabla hajawa marehemu).Mwenzetu au Ndugu yetu.