Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Habari wana Tech wa JF?
Naomba mnisaidie namna ya kufanya sms recovery kwenye smartphone yangu
Natumia samsung galaxy A05, Kuna wakati nakuta sms muhimu sana zimefutwa hata kwenye recycle bin hazipo
Nawezaje kuzirudisha?
Au ni download APP gani ambayo itakaa humo na kunitunzia hizo sms endapo zikifutwa nizikute?