Nifundisheni misemo mipya ya kukwepea vizinga(kuombwa Hela Hovyo😅😅)

Nifundisheni misemo mipya ya kukwepea vizinga(kuombwa Hela Hovyo😅😅)

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Zaidi ya kusema niko Juu Ya mawe sijui msemo mwingine unaomaanisha nimeishiwa Hela.

Hebu nipeni msemo mkali zaidi ili nizidi kukwepa Vizinga wazee😅😅😂😂😂

Sikukuu ndio hizo zinakuja kwa kasi sana😎
 
Kuna jamaa alikua anaitwa rikiboy. Huyu atakua mdogo wake
 
Mwambie kuna mchongo unausikilizia ukitiki utamcheki 🤣🤣🤣

Ila kwa kifupi mwanawane tafuta pesa tu kila aina ya mbususu utajilia
 
Zaidi ya kusema niko Juu Ya mawe sijui msemo mwingine unaomaanisha nimeishiwa Hela.

Hebu nipeni msemo mkali zaidi ili nizidi kukwepa Vizinga wazee[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]

Sikukuu ndio hizo zinakuja kwa kasi sana[emoji41]
Umechelewa kidogo tu jana nilikuwa njema nikatuma yote!
Nicheki kesho kuna ishu naisikilizia
Niko msibani jirani yangu kafiwa
Niko hospital[emoji23]
 
Umechelewa kidogo tu jana nilikuwa njema nikatuma yote!
Nicheki kesho kuna ishu naisikilizia
Niko msibani jirani yangu kafiwa
Niko hospital[emoji23]
[emoji23][emoji23]

"Halo sikusikii unasema!??"

"Kuna dili nalisikilizia"
 
Umechelewa kidogo tu jana nilikuwa njema nikatuma yote!
Nicheki kesho kuna ishu naisikilizia
Niko msibani jirani yangu kafiwa
Niko hospital[emoji23]
Aatashtuka pale atakaposema yupo hospitali alafu aambiwe baba mwenye nyumba anasumbua hela ya umeme 😂😂
 
Back
Top Bottom