Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Umechelewa kidogo tu jana nilikuwa njema nikatuma yote!Zaidi ya kusema niko Juu Ya mawe sijui msemo mwingine unaomaanisha nimeishiwa Hela.
Hebu nipeni msemo mkali zaidi ili nizidi kukwepa Vizinga wazee[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikukuu ndio hizo zinakuja kwa kasi sana[emoji41]
[emoji23][emoji23]Umechelewa kidogo tu jana nilikuwa njema nikatuma yote!
Nicheki kesho kuna ishu naisikilizia
Niko msibani jirani yangu kafiwa
Niko hospital[emoji23]
Mwambie kuna mchongo unausikilizia ukitiki utamcheki [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aatashtuka pale atakaposema yupo hospitali alafu aambiwe baba mwenye nyumba anasumbua hela ya umeme ππUmechelewa kidogo tu jana nilikuwa njema nikatuma yote!
Nicheki kesho kuna ishu naisikilizia
Niko msibani jirani yangu kafiwa
Niko hospital[emoji23]