Nifundisheni namna ya kudili na wateja Wakopaji

Wakuu,

Kila nikifunga hesabu zaidi ya 20k inalala nje

Wote sio watakaolipa, sasa basi nipeni mbinu za kushughulika na hawa jamaa
Nadhani tenga 10% ya mtaji wako kwa ajili ya wakopaji tu,usiitie hesabuni hiyo percentage.

Hakuna biashara inayokosa wakopaji,ukikimbia wakopaji means unakimbia wateja,choose wisely.

mteja ukimkopesha anaona unamthamini na kumuamini,hiyo itamfanya aje kwako hata akitaka kitu bila mkopo.

That's my personal opinion nothing else.
 
FB_IMG_1729609971926.jpg
 
Wakuu,

Kila nikifunga hesabu zaidi ya 20k inalala nje

Wote sio watakaolipa, sasa basi nipeni mbinu za kushughulika na hawa jamaa
mbinu ya kwanza kabisa, usikwepe wala kuwakimbia maafisa wa mamlaka ya mapato Tanzania TRA. Hilo ni muhimu sana..

jambo la pili,
wema wako usizidi uwezo wako, utaharibu na kuifilisi biashara yako kwa kuleta undugu na ushkaji kwenye biashara. Ni muhimu kuzingatia hayo 🐒
 
Hujaeleza unafanya biashara gani? Ila inatakiwa uchague moja uwe mfanyabiashara wa kukopesha au wakuone bandidu usie kopesha.
Kote kuna faida na hasara zake.
Note:Mikopo yote uiweke katika kumbukumbu na uhakikishe inalipwa biashara zina mambo mengi kufilisika kunachangiwa na hela zinazolala kwa watu.
 
Nadhani tenga 10% ya mtaji wako kwa ajili ya wakopaji tu,usiitie hesabuni hiyo percentage.

Hakuna biashara inayokosa wakopaji,ukikimbia wakopaji means unakimbia wateja,choose wisely.

mteja ukimkopesha anaona unamthamini na kumuamini,hiyo itamfanya aje kwako hata akitaka kitu bila mkopo.

That's my personal opinion nothing else.

I agree
 
Hujaeleza unafanya biashara gani? Ila inatakiwa uchague moja uwe mfanyabiashara wa kukopesha au wakuone bandidu usie kopesha.
Kote kuna faida na hasara zake.
Note:Mikopo yote uiweke katika kumbukumbu na uhakikishe inalipwa biashara zina mambo mengi kufilisika kunachangiwa na hela zinazolala kwa watu.
Genge
 
Mwaka wa kumi huu nakopa nakopeshwa... Hao wateja wakopaji wananiletea wateja zaidi..... Dereva kala mzinga mdogo hana hela anakuja nampa spare gari be inatengenezwa akirudi analipa double. Biashara ni wewe unafanya biashara gani, wakati gani,location, aina ya wateja, target yako ya wateja bila kusahau ushawishi wako wewe mwenye biashara.
Karibu
 
Back
Top Bottom