Enter Passcode
JF-Expert Member
- Mar 1, 2024
- 479
- 942
Kazi wanayo, ngoja kukuchekuwa na roho mbaya biashara haitaki huruma ROHO MBAYA ni kinga usicheke na nyani
Saivi wanasema nalingaNa usipowakopesha hawaji ukiwakopesha pia hawajiπππ hyo ndiyo biashara
Ndo wanachotaka mkuuFIRISIKA HAWATAKUJA KUKOPA TENA
Nadhani tenga 10% ya mtaji wako kwa ajili ya wakopaji tu,usiitie hesabuni hiyo percentage.Wakuu,
Kila nikifunga hesabu zaidi ya 20k inalala nje
Wote sio watakaolipa, sasa basi nipeni mbinu za kushughulika na hawa jamaa
Kweli mkuuNadhani tenga 10% ya mtaji wako kwa ajili ya wakopaji tu,usiitie hesabuni hiyo percentage.
That's my personal opinion nothing else.
mbinu ya kwanza kabisa, usikwepe wala kuwakimbia maafisa wa mamlaka ya mapato Tanzania TRA. Hilo ni muhimu sana..Wakuu,
Kila nikifunga hesabu zaidi ya 20k inalala nje
Wote sio watakaolipa, sasa basi nipeni mbinu za kushughulika na hawa jamaa
Tusifike huko mkuu
Kweli bossmbinu ya kwanza kabisa, usikwepe wala kuwakimbia maafisa wa mamlaka ya mapato Tanzania TRA. Hilo ni muhimu sana..
jambo la pili,
wema wako usizidi uwezo wako, utaharibu na kuifilisi biashara yako kwa kuleta undugu na ushkaji kwenye biashara. Ni muhimu kuzingatia hayo π
Nadhani tenga 10% ya mtaji wako kwa ajili ya wakopaji tu,usiitie hesabuni hiyo percentage.
Hakuna biashara inayokosa wakopaji,ukikimbia wakopaji means unakimbia wateja,choose wisely.
mteja ukimkopesha anaona unamthamini na kumuamini,hiyo itamfanya aje kwako hata akitaka kitu bila mkopo.
That's my personal opinion nothing else.
GengeHujaeleza unafanya biashara gani? Ila inatakiwa uchague moja uwe mfanyabiashara wa kukopesha au wakuone bandidu usie kopesha.
Kote kuna faida na hasara zake.
Note:Mikopo yote uiweke katika kumbukumbu na uhakikishe inalipwa biashara zina mambo mengi kufilisika kunachangiwa na hela zinazolala kwa watu.
ππ Mali yako bwana ringa unavyowezaSaivi wanasema nalinga
Kwa Genge kukopesha hakuepukiki fuatilia madeni na uweke katika kumbukumbu vizuri isiingie katika hasara wanakopa nakununua usikopeshe zaidi ya uwezo wako.Genge