leh
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 827
- 369
sina shida na Airtel au huduma zao, lakini nataka kujua kwann hawa jamaa wa mitandao wantumia maneno ya kihuni kila siku na TRA wako wap? maana ya neno bure ni nini kama sio *bila malipo*??
maana mi sio msomi sana wa Kiswahili, lakini kwa Kimambo, free ni *without cost or payment*. hiyo Elfuna Mia Tano/ Elfu Tano sio malipo?? au wanarejesha mwisho wa week/ mwezi?
na tukiendelea na hii mada, hamna sheria ya kunyima watu kutangaza mambo ambayo sio, yaani false advertising??
TRA wanafanya nini?? Buku yangu wanakata bure! nikiambiwa bila kikomo iwe unlimited kweli, free iwe free na ya week iwe 24*7
nimechukia sana