Nigella Lawson anawapa watoto wake pocket money £60 kwa siku

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1570744056386.jpeg

Nilisoma gazeti moja, Nigella Lawson anawaza watoto wake pocket money £60 kwa siku.

Mhh, hii ni budget yangu ya wiki mbili kwenda kazini na hapo katikati kuna siku ninazobeba kiporo cha wali canteen sifungui wallet.

Hapa ndiyo tunaona tofauti ya maisha. Na siajabu hii pesa kwa hawa watoto ni ndogo.

Hata kama nitajaliwa kuwa na pesa watoto wangu watajifunza ku budget. Katika mambo niliyoyapenda kwa Donald Trump, pamoja na mahela yake lakini watoto wake walipokuwa wanasoma walipewa kiasi cha pesa kitoshe mpaka semester inakwisha.

Walifua kwenye communal laundry kama watoto wengine wote. Matokea yake wako vizuri kwenye majukumu yao.

£60 a day for a child is a bit too much.

Kwa msiomfahamu Nigella Baba yake alikuwa waziri wa fedha wa Uingereza na aliolewa na Golden Sachs mwenye investment bank pia Nigella ni celebrate chef.
 
Mi sidhani kama ni pesa kubwa sana kwa hadhi yao walipo ndiyo maana Notorious B.I.G alikwambia Mo money mo problems yaani mi nikiwa na pesa ndefu sio ajabu kula breakfast ya 15000tsh kwa siku wakati kuna mwingine amekunywa chai kwa mama ntilie ya 500tsh yaani maandazi 2 ya 400 na chai ya mia.ndiyo maana wazungu walikwambia..,the world is not fair.hakuna kitu cha ajabu hapo.
 
Wataalamu wa "njululu" naomba wa convert kwa Tshs. inakuwa sh. ngapi
 
Dah! Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.
 
View attachment 1229329

Nilisoma gazeti moja, Nigella Lawson anawaza watoto wake pocket money £60 kwa siku.

Mhh, hii ni budget yangu ya wiki mbili kwenda kazini na hapo katikati kuna siku ninazobeba kiporo cha wali canteen sifungui wallet.

Hapa ndiyo tunaona tofauti ya maisha. Na siajabu hii pesa kwa hawa watoto ni ndogo.

Hata kama nitajaliwa kuwa na pesa watoto wangu watajifunza ku budget. Katika mambo niliyoyapenda kwa Donald Trump, pamoja na mahela yake lakini watoto wake walipokuwa wanasoma walipewa kiasi cha pesa kitoshe mpaka semester inakwisha.

Walifua kwenye communal laundry kama watoto wengine wote. Matokea yake wako vizuri kwenye majukumu yao.

£60 a day for a child is a bit too much.

Kwa msiomfahamu Nigella Baba yake alikuwa waziri wa fedha wa Uingereza na aliolewa na Golden Sachs mwenye investment bank pia Nigella ni celebrate chef.
Hawa ndo wanaoishi duniani
 
Huu ni utajiri wa mwana mama.... Net worth$15–25 million

Charles Saatchi net worth $150 - 290 million lazima ukimbie... Una muachia manyoya aje alee mwenyewe familia yake ya 60$ kila siku...
 
Back
Top Bottom