Nigeria anabeba Ndoo AFCON

Nigeria anabeba Ndoo AFCON

Nitafurahi sana Cape Verde wakibeba hii ndoo. Team bora kabisa mpaka sasa
 
Ya, Nigeria wanaweza chukua ndoo,

Wanacheza ugly football,!

Wanacheza kwa kuvizia mashambulizi,

Nadhani safu ya mbele wapo vzr,wanawachezaji wazuri Sana..!

Sitoshangaa lookman kuibuka mchezaji Bora wa Afcon!
 
Back
Top Bottom