hii kauli kuna sehemu nimeiona tena, kulikoni mkuu?ASANTE MUNGU KWA KUNIPA AKILI
Ila akichukua Congo itapendeza zaidiYeyote atakayechukua hilo kombe, hongera zake.
Mapopo wananyanyua ndoo AFCON.
Hii ni kauli ya ki-uoga kabisa.Yeyote atakayechukua hilo kombe, hongera zake.
Ni kauli pia ya mtu ambaye hana cha kupoteza.Hii ni kauli ya ki-uoga kabisa.