Nigeria celebrity Bobrisky amefunguka kuhusu jinsia yake!!

Mod, sorry niliposti kwenye jukwaa la siasa kimakosa.
 
si uandike wewe umejua alipo posti, mbona hajawahi kuficha.. wengi wenu mumemukuta kumujua wakati hayaongelei wala kuposti ya kale hadi posti hiyo alorusha sasa
 
Naona anataka kwenda nje kubadilisha jinsia awekewe UKE kwa 300,000$ hongera kwake ni hatua nzuri kwa muumba wake mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…