Nigeria: Katika harakati za kubadili Katiba, mmoja wa raia apendekeza jina la Nchi hiyo libadilishwe

Nigeria: Katika harakati za kubadili Katiba, mmoja wa raia apendekeza jina la Nchi hiyo libadilishwe

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Kwa takriban wiki mbili, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamekuwa wakikusanya mapendekezo ya kubadili Katiba ambapo mmoja wa raia amependekeza kubadili jina la Nchi hiyo kuwa United African Republic (Jamhuri ya Muungano Afrika).

Jina Nigeria lilipendekezwa mwishoni mwa karne ya 19 na Mwandishi wa Habari wa Uingereza, Flora Shaw, ambaye baadaye aliolewa na Msimamizi wa Kikoloni, Bwana Frederick Lugard.

=====

For two weeks, federal lawmakers have been traversing the country collating citizens' views to amend the constitution.

The idea was to gather suggestions for amendments such as electoral reforms and the system of government.

But citizen Adeleye Jokotoye, a tax consultant, dropped something of a bombshell at the hearing in Lagos.

He wants the name of the country changed as it was an imposition by Nigeria's past colonial masters.

The name Nigeria was suggested in the late 19th Century by British journalist Flora Shaw, who would later marry the British colonial administrator Lord Frederick Lugard.

It is derived from the River Niger which enters the country from the north-west and flows down to the Niger Delta where it empties into the Atlantic Ocean through its many tributaries.

But Mr Jokotoye wants the name changed and his choice of United African Republic - to reflect the hundreds of ethnic groups that comprise the country - has blown a storm.
 
Wala sio muhimu sana kama katiba haitogusia mambo muhimu kwa raia na nchi yote kwa ujumla.
 
Africa ni shida sana,
Yaani jina tu linawatesa, wala si matatizo ya raia,
 
Back
Top Bottom