Nigeria: Klabu ya Plateau yagoma mchezo wake dhidi ya Simba Sc unaweza usiruke 'Live'

Mhh, inawezekana Simba ndio hawataki uonekane mubashara kwa kuogopa aibu.
 
Nijeria huwa naona kama wajanja hivi. kumbe wapuuzi tu kama wapuuzi wengine
 
mkuu hujajibu swali lililoulizwa
 
Hii ndio shida ya timu zinazoamini vibuyu.
 
This is africa my friend! Cuf nao wamekaa kimya katika hili. Kama kila timu ikifanya hivi haya mashindano yatakuwa ya kijinga kabisa kupata kutokea.
Unaulizwa sababu ni zipi unatoa malalamiko. Mechi huwa hairushwi tu kienyeji bila kununua haki ya matangazo kwa timu husika. Sasa kwanini tunatanguliza kauli za kuhujumiwa badala ya kuletwa humu ni kwanini Plateau wamekataa mechi isioneshwe live. Tunatanguliza imani ya hujuma pasipo kutaka kujua sababu zao ni zipi.
 
Wazee wa tano tano ugenini wanaogopa aibu kuwaona wakilambwa live. Janja yao imewekwa wazi. Plateau hawana issue kabisa.
 
Kwani wamkataa kukubaliana na azam tu au hata channel zingine za nje?
 
Nafkiri wakija bongo wanaweza kupelekwa gesti za kwa tumbo na umeme utakatwa ghafla huku gesti hiyo ikifungwa milango yote hadi siku ya mechi ikifika ndo wanafunguliwa wakacheze mpira na simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…