Nigeria kusitisha matumizi ya Plastiki katika ofisi za Serikali

Nigeria kusitisha matumizi ya Plastiki katika ofisi za Serikali

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
images.jpeg


Nigeria imetangaza kusitisha matumizi ya plastiki leo Juni 27, 2024 katika ofisi za serikali kama hatua ya awali kabla ya kusitiza matumizi ya kitaifa kuanza Januari 2025​

Kulingana na tafiti zilizofanyika na Shirika la (US Agency for International Development) zinaonyesha kuwa Nigeria ni miongoni mwa mataifa yanayoongoza duniani kwa uchafuzi unaotokana na matumizi ya plastiki, ikizalisha zaidi ya tani milioni 2.5 za taka za plastiki kila mwaka, ambapo zaidi ya asilimia 70 zinatupwa kwenye vyanzo vya maji.

Naibu Waziri wa Mazingira nchini Nigeria, Iziaq Salako amesema "Kama unavyoona katika sera ya kitaifa ya usimamizi wa taka za plastiki iliyopitishwa mwaka 2020, ilikusudia kwamba ifikapo mwaka 2025, baadhi ya aina za plastiki zitapigwa marufuku nchini Nigeria,"

=============For English Audience Only==========

Nigeria to ban single-use plastics next year​

LAGOS, June 26 (Reuters) - Nigeria on Tuesday announced a ban on single-use plastics in government offices as a prelude to a nation-wide ban set to begin in January next year, a move that could stir a storm in a country hugely dependent on plastics.

A recent study by the U.S. Agency for International Development found that Nigeria is among the world's top plastic polluters, generating over 2.5 million tonnes of plastic waste annually, and over 70% of which ends up in seas and landfill.
"If you look at the national policy on plastic waste management which was adopted in 2020, it envisaged that by 2025, some categories of plastic will be banned in Nigeria," deputy minister of environment, Iziaq Salako said.

"What the Federal government is doing is preparing the minds of Nigerians for what is to come and leading by example" he said.

Most of the materials to be banned are single-use plastics including straws, cutlery, plastic bottles and small water sachets, which present a major issue for the country, he said.

Nigeria announced a national policy to curb plastic waste pollution in 2020 when total annual plastic waste was around 1.5 million metric tonnes, according to the plan seen by Reuters.
The document highlights how proper plastic waste management can create a circular economy, where plastic design, production and use leads to recycling for reuse.

Since then, plastic waste has risen sharply in fast growing cities like Lagos, with an estimated population of between 17-20 million, and where research by the United Nations Environment Programme (UNEP) this year found that an estimated 50-60 million used water sachets are thrown into the streets daily.
SOURCE: REUTERS

 
Back
Top Bottom