FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Wanatengeneza Mini buses, Pick up, SUV's, buses, Trucks nk. Yaone mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama Tz tuna utamaduni wa kununua magari mapya, sisi ni used tu, na hiki ndicho kinaua viwanda vya ndani, hata nguo za mtumba, zinadumaza na kuua kabisa viwanda vya ndanihapa bongolala yanapatikana wapi
Soma specs za IVM motor companySamahani mkuu huu ubora umeangalia vigezo vipi
Ngoja Mengi aanzishe cha smartphone kwanza..Korosho tu zinatushinda, tukimbilie kwenye magari.[emoji18]
kweli bwana halafu gharama ya kununua gari jipya ni sawa na kununua used 5 ukizingatia wabongo tunavyopenda sifa ya quantitySidhani kama Tz tuna utamaduni wa kununua magari mapya, sisi ni used tu, na hiki ndicho kinaua viwanda vya ndani, hata nguo za mtumba, zinadumaza na kuua kabisa viwanda vya ndani
Sio 5 tu, hata 10 kabisa. Maana SUV mpya 0 km inaweza fika hadi 120millionkweli bwana halafu gharama ya kununua gari jipya ni sawa na kununua used 5 ukizingatia wabongo tunavyopenda sifa ya quantity
Onyesha mfano wa kuigwa kwa kuachana na hilo brevis lako na kununua hayo mapya ya nigeriaSidhani kama Tz tuna utamaduni wa kununua magari mapya, sisi ni used tu, na hiki ndicho kinaua viwanda vya ndani, hata nguo za mtumba, zinadumaza na kuua kabisa viwanda vya ndani
Ngoja Mengi aanzishe cha smartphone kwanza..