Nigeria: Magaidi wauana wao kwa wao

Nahisi ile ni biashara ya watu. Haiwezekani nchi yenye jeshi imara lenye vifaa vya kisasa kama Nigeria ishindwe kumaliza kikundi cha waasi cha Boko Haramu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nina amini katika hili. The Nigerian government is capable to suppress all those terrorist groups in just a matter of eye blinking. No biashara ya mataifa ya magharibi ikiwezekana na Iran kwa upande wa Bokoharam
 
Hivi wanapouana, hupata mabikira kule peponi au huwa vipi, naomba mashekhe mtusaidie kuelewa hili.
 
Hivi wanapouana, hupata mabikira kule peponi au huwa vipi, naomba mashekhe mtusaidie kuelewa hili.
Wanapata pia,,,andiko linasema yani yule muislam wa chini kabsa mtenda dhambi kabisa wa kutupwa mlevi,mzinzi,mwizi,shoga,mchawi yeye ndo atapata bikra 72...kwahyo hao waliouana wao kwa wao pia ni wauaji watapata 72....

sasa kwa wale waislam safi na mujahideen wanaowaua makafir kwa ajili ya Allah jiulize watapewa bikra ngap?
 
Utasikia marekani anawachonganisha,
 
Utasikia marekani anawachonganisha,
Eeh kila kitu blame the Americans na mayahudi
..
Watakuambia some walikuwa upande wa Israel some walikuwa upande wa marekani ndomana wakauwana
 
Eeh kila kitu blame the Americans na mayahudi
..
Watakuambia some walikuwa upande wa Israel some walikuwa upande wa marekani ndomana wakauwana
Bado wanachonganishwa na marekani wanauwana alafu MTU akifa wanasema kafa SHAHIDI. Huwa siwaelewi kabisa
 
Wameshachonganishwa
Jr[emoji769]
 
Eti wanadai nigeria wana jeshi zuri kwa africa sasa kwa nini washindwe kukamaliza kakikundi kama hicho hakuna jeshi huko wapumbafu tu majigambo yanawasumbua
Wana jeshi la gwaride tu ambalo kwa miaka mingi limeathiriwa na ufisadi na rushwa ndio maana wanajeshi hawana mafunzo mazuri wala silaha za kisiasa za kupambana na hao wanaitikadi.
 
Wanatekeleza kwa mujibu wa mafundisho yao. Mohammed alisema wote wasioamini na wauliwe Wayahudi, Wakristo wale upanga kwa kwenda mbele.

Halafu wapo wenye akili kama hiyo wanasema huyo ndio mtu wa kufuata mafundisho yake ....!!! It's the epic of lunacy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…