Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama English ya Bongo na neno Ze.Kwenye English ya wanaijeria neno "dey" huwa ni kila sentensi....
Dey ni nini?Kwenye English ya wanaijeria neno "dey" huwa ni kila sentensi....
Sifahamu.....Dey ni nini?
Bora nitazame movie ya wajamaika naweza elewa ila sio wanaijeria. Dialect yao hata sielewi. Utasikia," Okonkwo, una dey olololo make una say nana okwobobo la sei oshawo akba my fada and moda and my grandmoda shekere" halafu anashika sikio anamaliza na msonyo.😂😂😂😂Kwenye English ya wanaijeria neno "dey" huwa ni kila sentensi....
Mimi hata nyimbo zao zinazoimbwa kiingereza huwa siwezi kutafsiri......yaani ni mchanganyiko wa slang za kinaijeria kwa kwenda mbeleBora nitazame movie ya wajamaika naweza elewa ila sio wanaijeria. Dialect yao hata sielewi. Utasikia," Okonkwo, una dey olololo make una say nana okwobobo la sei oshawo akba my fada and moda and my grandmoda shekere" halafu anashika sikio anamaliza na msonyo.😂😂😂😂
Mimi ndio shida na wanaijeria ipo hapo.
Umewapitia SanaBora nitazame movie ya wajamaika naweza elewa ila sio wanaijeria. Dialect yao hata sielewi. Utasikia," Okonkwo, una dey olololo make una say nana okwobobo la sei oshawo akba my fada and moda and my grandmoda shekere" halafu anashika sikio anamaliza na msonyo.😂😂😂😂
Mimi ndio shida na wanaijeria ipo hapo.
Dey ni nini?
Ni sheng ya kiingerezaBora nitazame movie ya wajamaika naweza elewa ila sio wanaijeria. Dialect yao hata sielewi. Utasikia," Okonkwo, una dey olololo make una say nana okwobobo la sei oshawo akba my fada and moda and my grandmoda shekere" halafu anashika sikio anamaliza na msonyo.😂😂😂😂
Mimi ndio shida na wanaijeria ipo hapo.
I dey knowDey ni nini?
Haliwezi kutumika kama "am"?"dey" huwa ni neno linalosimama kama kitenzi kisaidizi katika Ile pidgin English yao kwa maana ya "is," "are," au "to be" Kulingana na muktadha, mara nyingi hutumika kuelezea hali ya kuwepo(state of being), mahali(location) au kitendo(action).
Hata hivyo Kuwaelewa inabidi uwe umeishia na wanaijeria. Kuna jamaa Kila tukienda kanisani alikuwa anatuambia "I gats see pastor before e dey go house." . Akimaanisha ni lazima aonane na mchungaji kabla hajaenda nyumbani😀😀😀.
Dah jamaa English yao mchanganyiko sanaWanaijeria nimebaki kusikiliza nyimbo zao za gospel hasa za Nathaniel bassey labda kidogo judicay na ada
PidginBora nitazame movie ya wajamaika naweza elewa ila sio wanaijeria. Dialect yao hata sielewi. Utasikia," Okonkwo, una dey olololo make una say nana okwobobo la sei oshawo akba my fada and moda and my grandmoda shekere" halafu anashika sikio anamaliza na msonyo.😂😂😂😂
Mimi ndio shida na wanaijeria ipo hapo.
Ukija kwenye standup comedy huku bongo ndo shida sana.....mchekeshaji anaweza panda jukwaani akawa anajichekesha mwenyewe ila waliokuja kumtizama wanabaki wameduwaa hata hawaelewi jamaa kapatwa na nini......ukanda wetu comedy Wakenya wapo vizuri hasa kwenye hizi standup ....na Nigeria wapo wa level tofauti ma comedian wao wale wakubwa na wanatambulika kimataifa wana content za maana ila ukija huku kwetu sasa hata ma comedian wakubwa wana utoto mwingi bora hao ni kwa wachekeshaji wa level fulani tu ndo wapo hivoNigeria huwa wana content za comedy za kitoto sana, hazina ladha, English yao mbaya sana. Karibia content yao yote comedy siku zote ni kama ya walinzi wa getini wa bongo movies.
View attachment 3263180
Okay okay unaweza Patwah... twende kaziBora nitazame movie ya wajamaika naweza elewa ila sio wanaijeria. Dialect yao hata sielewi. Utasikia," Okonkwo, una dey olololo make una say nana okwobobo la sei oshawo akba my fada and moda and my grandmoda shekere" halafu anashika sikio anamaliza na msonyo.😂😂😂😂
Mimi ndio shida na wanaijeria ipo hapo.