Nigeria maudhui yao ya comedy za kuigiza ni ya kitoto sana

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Nigeria huwa wana content za comedy za kitoto sana, hazina ladha, English yao mbaya sana. Karibia content yao yote comedy siku zote ni kama ya walinzi wa getini wa bongo movies.
Your browser is not able to display this video.
 
Si bora wao kule Bongo, hao Bongo muvi wanaigiza siasa. Sasa hiv kila bongo muv amekuwa chawa wa mama wakiongozwa na mzee Chillo aliyekabidhiwa fungu la kueneza uchawa kwa wenzie
 
Kwenye English ya wanaijeria neno "dey" huwa ni kila sentensi....
Bora nitazame movie ya wajamaika naweza elewa ila sio wanaijeria. Dialect yao hata sielewi. Utasikia," Okonkwo, una dey olololo make una say nana okwobobo la sei oshawo akba my fada and moda and my grandmoda shekere" halafu anashika sikio anamaliza na msonyo.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mimi ndio shida na wanaijeria ipo hapo.
 
Mimi hata nyimbo zao zinazoimbwa kiingereza huwa siwezi kutafsiri......yaani ni mchanganyiko wa slang za kinaijeria kwa kwenda mbele
 
Umewapitia Sana
..
Like you are one of themπŸ˜€πŸ˜€
 
Si bora wao kule Bongo, hao Bongo muvi wanaigiza siasa. Sasa hiv kila bongo muv amekuwa chawa wa mama wakiongozwa na mzee Chillo aliyekabidhiwa fungu la kueneza uchawa kwa wenzie
Mambo ya hovyo sana.
 
Dey ni nini?
Ni sheng ya kiingereza
 
Haliwezi kutumika kama "am"?
 
Dah hata uandishi wa kiingereza chao huwa unanipa wakati mgumu kuelewa maana unakuta maneno "dey" "oga" "moda" "fada" hapa inabidi utulie dakika kadhaa kujua amemaanisha nini.
 
Pidgin
 
Nigeria huwa wana content za comedy za kitoto sana, hazina ladha, English yao mbaya sana. Karibia content yao yote comedy siku zote ni kama ya walinzi wa getini wa bongo movies.
View attachment 3263180
Ukija kwenye standup comedy huku bongo ndo shida sana.....mchekeshaji anaweza panda jukwaani akawa anajichekesha mwenyewe ila waliokuja kumtizama wanabaki wameduwaa hata hawaelewi jamaa kapatwa na nini......ukanda wetu comedy Wakenya wapo vizuri hasa kwenye hizi standup ....na Nigeria wapo wa level tofauti ma comedian wao wale wakubwa na wanatambulika kimataifa wana content za maana ila ukija huku kwetu sasa hata ma comedian wakubwa wana utoto mwingi bora hao ni kwa wachekeshaji wa level fulani tu ndo wapo hivo
 
Okay okay unaweza Patwah... twende kazi

"Rude bwoy, hide di herbs, Babylon deh roun di corna, Bekaaz a babylon system, mi cyaah smoke mi weed in peace".... hapa nimesemaje ?, my Ethiopian girl used to teach me Patwah.. ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…