Nigeria: Mavazi ya wakili yazua taharuki, kesi yahaarishwa

Analog

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2024
Posts
323
Reaction score
618
Juni 27, 2022, Mahakama Kuu ya Shirikisho ya jijini Lagos nchini Nigeria, ilikataa kusikiliza kesi zilizowasilishwa na Wakili wa Haki za Binadamu, Malcolm Omirhobo ambaye alifika mbele ya Mahakama hiyo akiwa amevalia mavazi yanayodaiwa kuwa na mfanano na yale ya Waganga wa jadi.

Wakili Omirhobo, alitenda tukio wakati alipowasili katika Mahakama hiyo ya Juu, akiwa na mchoro wa chaki nyeupe uliozunguka jicho lake moja huku akijifunga minyororo kwenye miguu, kufunga kitambaa chekundu kiunoni mwake, kuvaa manyoya kichwani na mkufu wenye kitu mfano wa hirizi.

Mbele ya Hakimu wa Mahakama Kuu ya Shirikisho, Tijani Ringim akiwa amevalia mavazi hayo Omirhobo alizua hisia tofauti kutoka kwa baadhi ya mawakili waliodai kuwa hangeweza kusikiliza vyema shauri lake, kitu ambacho kilizua mabishano kwa muda akidai alikuwa nadhifu.

Kesi ya kwanza ya Omirhobo, ilikuwa ni ile dhidi ya Serikali ya Shirikisho ya Nigeria na nyinginezo huku shitaka la pili likiwa dhidi ya Jeshi la Nigeria na watu wengine wawili, ambapo iliitishwa na Jaji kisha kukataliwa kusikilizwa na kuahirishwa kitendo alichokiita ni uvunjifu wa haki.

“Sheria haziwezi kuchukua nafasi ya Katiba ya Shirikisho la Jamhuri ya Nigeria, sioni tatizo juu ya mavazi niliyovalia maana hayana uhusiano wowote na usikilizwaji wa kesi hii, ukizingatia nipo nadhifu sasa kwanini kuna hisia tofauti,” alihoji Omirhobo.

operanews1736361080871.jpg
operanews1736361042683.jpg
 
“Sheria haziwezi kuchukua nafasi ya Katiba ya Shirikisho la Jamhuri ya Nigeria, sioni tatizo juu ya mavazi niliyovalia maana hayana uhusiano wowote na usikilizwaji wa kesi hii, ukizingatia nipo nadhifu sasa kwanini kuna hisia tofauti,” alihoji Omirhobo.
Kwani katiba inamruhusu kuvaa mavazi yoyote? Katiba haiwezi kueleza kila kitu. Juzi hapa, kanuni zimeondoa punda kwenye orodha ya nyama wakati katiba haitaji hata neno punda. Similarly, ndio maana sheria na kanuni zikaweka court attire!
 
Juni 27, 2022, Mahakama Kuu ya Shirikisho ya jijini Lagos nchini Nigeria, ilikataa kusikiliza kesi zilizowasilishwa na Wakili wa Haki za Binadamu, Malcolm Omirhobo ambaye alifika mbele ya Mahakama hiyo akiwa amevalia mavazi yanayodaiwa kuwa na mfanano na yale ya Waganga wa jadi.

Wakili Omirhobo, alitenda tukio wakati alipowasili katika Mahakama hiyo ya Juu, akiwa na mchoro wa chaki nyeupe uliozunguka jicho lake moja huku akijifunga minyororo kwenye miguu, kufunga kitambaa chekundu kiunoni mwake, kuvaa manyoya kichwani na mkufu wenye kitu mfano wa hirizi.

Mbele ya Hakimu wa Mahakama Kuu ya Shirikisho, Tijani Ringim akiwa amevalia mavazi hayo Omirhobo alizua hisia tofauti kutoka kwa baadhi ya mawakili waliodai kuwa hangeweza kusikiliza vyema shauri lake, kitu ambacho kilizua mabishano kwa muda akidai alikuwa nadhifu.

Kesi ya kwanza ya Omirhobo, ilikuwa ni ile dhidi ya Serikali ya Shirikisho ya Nigeria na nyinginezo huku shitaka la pili likiwa dhidi ya Jeshi la Nigeria na watu wengine wawili, ambapo iliitishwa na Jaji kisha kukataliwa kusikilizwa na kuahirishwa kitendo alichokiita ni uvunjifu wa haki.

“Sheria haziwezi kuchukua nafasi ya Katiba ya Shirikisho la Jamhuri ya Nigeria, sioni tatizo juu ya mavazi niliyovalia maana hayana uhusiano wowote na usikilizwaji wa kesi hii, ukizingatia nipo nadhifu sasa kwanini kuna hisia tofauti,” alihoji Omirhobo.

View attachment 3196183View attachment 3196184
Huyu wamyanganye na leseni ya uwakili. Anaonesha akili zimeganda kuganda. Badala ya kujikita kutetetea kesi ya mteja wake anajigeuza karagosi mahakanani.
 
Juni 27, 2022, Mahakama Kuu ya Shirikisho ya jijini Lagos nchini Nigeria, ilikataa kusikiliza kesi zilizowasilishwa na Wakili wa Haki za Binadamu, Malcolm Omirhobo ambaye alifika mbele ya Mahakama hiyo akiwa amevalia mavazi yanayodaiwa kuwa na mfanano na yale ya Waganga wa jadi.

Wakili Omirhobo, alitenda tukio wakati alipowasili katika Mahakama hiyo ya Juu, akiwa na mchoro wa chaki nyeupe uliozunguka jicho lake moja huku akijifunga minyororo kwenye miguu, kufunga kitambaa chekundu kiunoni mwake, kuvaa manyoya kichwani na mkufu wenye kitu mfano wa hirizi.

Mbele ya Hakimu wa Mahakama Kuu ya Shirikisho, Tijani Ringim akiwa amevalia mavazi hayo Omirhobo alizua hisia tofauti kutoka kwa baadhi ya mawakili waliodai kuwa hangeweza kusikiliza vyema shauri lake, kitu ambacho kilizua mabishano kwa muda akidai alikuwa nadhifu.

Kesi ya kwanza ya Omirhobo, ilikuwa ni ile dhidi ya Serikali ya Shirikisho ya Nigeria na nyinginezo huku shitaka la pili likiwa dhidi ya Jeshi la Nigeria na watu wengine wawili, ambapo iliitishwa na Jaji kisha kukataliwa kusikilizwa na kuahirishwa kitendo alichokiita ni uvunjifu wa haki.

“Sheria haziwezi kuchukua nafasi ya Katiba ya Shirikisho la Jamhuri ya Nigeria, sioni tatizo juu ya mavazi niliyovalia maana hayana uhusiano wowote na usikilizwaji wa kesi hii, ukizingatia nipo nadhifu sasa kwanini kuna hisia tofauti,” alihoji Omirhobo.

View attachment 3196183View attachment 3196184
Je, Hakimu aliogopa kupigwa tunguli?
 
Back
Top Bottom