Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Mshambuliaji wa Remo Stars Alimi Sikiru ndio mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko wote kwenye ligi ya Nigeria akiwa analipwa Naira Milioni 1.3 (sawa na Dola za Marekani 1000$ au 2.5m Tshs) kwa mwezi.
Hivi karibuni mchezaji huyo amelalamika kuwa toka zivuje taarifa za yeye kuwa mtu anayelipwa kuliko wote kwenye ligi watu wengi wamekuwa wakimsumbua kumuomba misaada (VIZINGA).
Katika msimu huu wa ligi amefunga mabao 14 kwenye mechi 30 huku akitoa assists 3.
CREDIT @geoff_lea