Source?Mshambuliaji wa Remo Stars Alimi Sikiru ndio mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko wote kwenye ligi ya Nigeria akiwa analipwa Naira Milioni 1.3 (sawa na Dola za Marekani 1000$ au 2.5m Tshs) kwa mwezi
Hivi karibuni mchezaji huyo amelalamika kuwa toka zivuje taarifa za yeye kuwa mtu anayelipwa kuliko wote kwenye ligi watu wengi wamekuwa wakimsumbua kumuomba misaada (VIZINGA)
Katika msimu huu wa ligi amefunga mabao 14 kwenye mechi 30 huku akitoa assists 3.
CREDIT @geoff_leaView attachment 3003467
Uongo hyo mzeeSource?
Mbona mimi nimeangalia haraka haraka nimeona kuna wachezaji kwenye hiyo ligi wanalipwa maia ya mamilioni?
Cheki hapa: Top 10 Highest Paid Nigerian Footballers in Nigerian Premier League (2024) - Nigerian Queries.
"Ahmed Musa is currently the highest paid football player in the Nigerian Premier League. The player currently plays for Kano Pillars and his net worth is valued at ₦6.5 billion. Ahmed Musa has played for a good number of top football teams throughout his career. This was when he played for two of the richest countries in the world. The football star earned much at Russia and Saudi Arabia. Being at these clubs has put him in a top position as one of the most richest footballers in the country.
Looking at Ahmed Musa wealth, he owns many expensive properties, including a Range Rover Sport which cost $50,000; A Range Rover Velar worth $60,500; and a Mercedes Benz G-Wagon that is valued at $127,650. It is also believed that the NPFL winger owns a mansion in Nigeria worth N500 million. The footballer as well maintains a barbing saloon worth N500 million in Kano."
Naomba nione source ya hiyo uliyopost kwanza, why ume rule out moja kwa moja kuiamini hiyo uliyoileta ndo ya ukweli, na hii nyingine kusema ni uongo?Uongo hyo mzee
Inaonekana ndio mishahara yaoNaomba nione source ya hiyo uliyopost kwanza, why ume rule out moja kwa moja kuiamini hiyo uliyoileta ndo ya ukweli, na hii nyingine kusema ni uongo?
Ok. Basi ligi yao ya ndani haina ishu. Looks like wale wachezaji competitive wanakimbilia nje zaidiInaonekana ndio mishahara yao
Who is the highest-paid player in Nigeria's premier league 2023? Top 1o list
Who is the highest-paid footballer in the Nigeria Premier League in 2023? Discover the best paid footballers, their ages, and how much they earn each month.sportsbrief.com
Kabisa MkuuOk. Basi ligi yao ya ndani haina ishu. Looks like wale wachezaji competitive wanakimbilia nje zaidi
Hizo figure mnazisomaje mbona au hamuioni hiyo k mwisho?Ok. Basi ligi yao ya ndani haina ishu. Looks like wale wachezaji competitive wanakimbilia nje zaidi
Utajiri wa Ahmad Musa tu wa 6.5bn neira unaendesha ligi yetu bongo kwa miaka 10, sasa utasemaje huyu jama analipwa 2.5m za kibongo haiwezekani kabisa.Mshambuliaji wa Remo Stars Alimi Sikiru ndio mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko wote kwenye ligi ya Nigeria akiwa analipwa Naira Milioni 1.3 (sawa na Dola za Marekani 1000$ au 2.5m Tshs) kwa mwezi.
Hivi karibuni mchezaji huyo amelalamika kuwa toka zivuje taarifa za yeye kuwa mtu anayelipwa kuliko wote kwenye ligi watu wengi wamekuwa wakimsumbua kumuomba misaada (VIZINGA).
Katika msimu huu wa ligi amefunga mabao 14 kwenye mechi 30 huku akitoa assists 3.
CREDIT @geoff_lea
View attachment 3003467
Soma vizuri maelezo, mtoa mada yupo Sahihi, huyo unayemtaja hizo Naira Billion 6.5 ni Net worth na kumbuka alishawahi kucheza Saudi Arabia, soma vizuri kwenye link , anayemfatia anapokea Naira 1.2 MillionSource?
Mbona mimi nimeangalia haraka haraka nimeona kuna wachezaji kwenye hiyo ligi wanalipwa maia ya mamilioni?
Cheki hapa: Top 10 Highest Paid Nigerian Footballers in Nigerian Premier League (2024) - Nigerian Queries.
"Ahmed Musa is currently the highest paid football player in the Nigerian Premier League. The player currently plays for Kano Pillars and his net worth is valued at ₦6.5 billion. Ahmed Musa has played for a good number of top football teams throughout his career. This was when he played for two of the richest countries in the world. The football star earned much at Russia and Saudi Arabia. Being at these clubs has put him in a top position as one of the most richest footballers in the country.
Looking at Ahmed Musa wealth, he owns many expensive properties, including a Range Rover Sport which cost $50,000; A Range Rover Velar worth $60,500; and a Mercedes Benz G-Wagon that is valued at $127,650. It is also believed that the NPFL winger owns a mansion in Nigeria worth N500 million. The footballer as well maintains a barbing saloon worth N500 million in Kano."
Source?

hawajasema hapo kano analipwaje zaid ya kusema tu amechezea russia na saud arabia na mali anazomiliki ukute kano wanamlipa $300Source?
Mbona mimi nimeangalia haraka haraka nimeona kuna wachezaji kwenye hiyo ligi wanalipwa maia ya mamilioni?
Cheki hapa: Top 10 Highest Paid Nigerian Footballers in Nigerian Premier League (2024) - Nigerian Queries.
"Ahmed Musa is currently the highest paid football player in the Nigerian Premier League. The player currently plays for Kano Pillars and his net worth is valued at ₦6.5 billion. Ahmed Musa has played for a good number of top football teams throughout his career. This was when he played for two of the richest countries in the world. The football star earned much at Russia and Saudi Arabia. Being at these clubs has put him in a top position as one of the most richest footballers in the country.
Looking at Ahmed Musa wealth, he owns many expensive properties, including a Range Rover Sport which cost $50,000; A Range Rover Velar worth $60,500; and a Mercedes Benz G-Wagon that is valued at $127,650. It is also believed that the NPFL winger owns a mansion in Nigeria worth N500 million. The footballer as well maintains a barbing saloon worth N500 million in Kano."
wanaojielewa Nigeria wanakwea pipa hawabaki wanaenda kuiwinda USD au EURO/ Pound.Mbona nchi inaonekana kama watu wake wanajielewa
malizieni article wanaofuta naona kuna,Ahmed katajirika kwa kacheza miaka mingi nchi za nje, Nigeria mishahara ni midogo sana. Mara ya mwisho kacheza Nigeria 2021 kisha kutimkia tena ulaya.
2010–2012 VVV-Venlo - Udachi
2012–2016 CSKA Moscow - Urusi
2016–2018 Leicester City - Uingereza
2018 → CSKA Moscow - Urusi
2018–2020 Al Nassr - Saudi Arabia
2021 Kano Pillars - Nigeria
2021–2022 Fatih Karagümrük - Uturuki
2022–2024 Sivasspor - Uturuki