Nigeria: Mchezaji anayelipwa zaidi ligi ni Tsh. 2.5 million

Hizo taarifa si za kuaminika, alieandika hakufanya research yake vyema, kaweka taarifa za uongo mfano hapo Kwa Ahmad Musa kaandika anacheza ligi ya Nigeria wakati yupo uturuki, pia kachanganya wachezaji waliotajirikia ulaya. Hii blog ya mchongo.
 
Hizo taarifa si za kuaminika, alieandika hakufanya research yake vyema, kaweka taarifa za uongo mfano hapo Kwa Ahmad Musa kaandika anacheza ligi ya Nigeria wakati yupo uturuki, pia kachanganya wachezaji waliotajirikia ulaya. Hii blog ya mchongo
Nimefanya ka research kidogo inawezekana kuna ukweli kuhusu Sikiru aLimi Kukunja 1.3 M. Inayomfanya kuwa top earner.
 
Soma vizuri maelezo, mtoa mada yupo Sahihi, huyo unayemtaja hizo Naira Billion 6.5 ni Net worth na kumbuka alishawahi kucheza Saudi Arabia, soma vizuri kwenye link , anayemfatia anapokea Naira 1.2 Million
Hawaelewi
 
wewe umeongelea net worth, yaani utajiri wa wachezaji......

Ahmed Musa kacheza ligi nyingi kubwa huko ulaya!
 
huko west africa kuna wachezaji wazuri kwa bei chee,
sema vilabu vya bongo vinapenda wape wanaojulikana, ila wangekua na scouts huko bila shaka wangeweza kupata wachezaji vijana wenye vipaji na wanaochipukia kisha wakawalipa mishahara ya kawaida....

mtu umtoe west huko analipwa naira 500k, huyu ukiahidi kumlipa naira 1-1.5m atakubali......
 
Mataifa mengi Africa wachezaji wao wanacheza ulaya hao Nigeria wachezaji wanalipwa hela ndogo ila tukija kucheza nao national team wanatufunga yaani UGANDA KENYA BURUNDI RWANDA hizo nchi zote tumezipita kwenye ngazi ya club ila kwenye national team labda somalia ndio tutaifunga maana hata kwenye viwango vya Caf champions league hawapo ila leteni team yenu ya taifa ndio mtaacha hzo kejeli zenu Senegal hawana team Caf champions league ila ukikutana nao national team ule hamsa tuna league bora ila wachezaji wa national team ni magarasa.
 
Kwa national team ni kipengele sana
 
tatizo nadhani bado wanataka watu wanaoweza kuwatawala kifikra na watu wa west sio wajinga, kumbuka case za Morrison, alipojua udhaifu wetu akasepa na vibunda vya watani wa jadi.
 
usikaze fuvu. anasemea ligi ya ndani kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…