Nigeria: Mchungaji achoma mawigi ya muumini

Shadow7

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
24,606
Reaction score
39,289
Mchungaji Cyril Utomi kutoka Nigeria ameyachoma mawigi na vipodozi vya muumini wa kike kwa madai asingeweza kukutana na Yesu akiwa na nywele na vitu vingine vya bandia ikiwa ni pamoja na viatu virefu.

Picha ya Mchungaji Cyril Utomi.

Utomi alichoma vitu hivyo katika mkutano wa mahubiri ulioandaliwa na Holiness Revival Movement Worldwide mwishoni mwa mwezi Agosti na baada ya tukio hilo aliamua ku-post picha zinazoonesha vitu hivyo vikiteketea kwa moto katika mtandao wa facebook
 
Safi kabisa, na kweli vyitu hivyi vitawapeleka wanawake wengi jehannum ya moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…